Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

Shida ya hao jamaa ni ujeuri..ila wao ndo wanaongoza kwa kupewa mitume na manabii wengi.ila waliwakataa na wengine kuwauwa.siku nikipata hela natamani niende misri nikasome historia yao.uwa napenda sana

Waisrael walimkataa Mungu wakaamua kufuata ya shetani nimeyasahau haya maandiko yako kitabu gani, Israel wameamua kwenda na NWO.
 
hizo drones ni matokeo ya tech ya Usa drone ambayo ili tunguliwa 2011 na iran na kuanza kuzistudy na kuzifanyia modifications zao hivo hakuna jipyaaaa
Mbona drone za kamkaze za Marekani zimepelekwa vitani nchi Ukraine zikaferi?
 
Wako vizuri wakivua zile baibui na hijabu. Maungo yapo vizuri hatukatai
 
Hivi inakuwaje Hamas wanamiliki rockets? Wanazipitisha wapi wakati wamezungukwa na Israel?
 
Uongo huo
 
Huwezi zuia nchi kuwa na drones.
Hata Tanzania twatakiwa tuunde na tuzioneshe wajue
 
Andiko refu lisiloeleweka!
 
Sio kila kitu cha kushabikia, unajuwa athari za kila nchi kuwa na silaha hatari, Waafrika ni matomaso mpaka muone ndio mtaelewa.
kuwa kimahsusi mkuu, Silaha hatari una maanisha nyuklia?
kama ndiyo, basi bila shaka dunia itakuwa mahali salama zaidi kama kila nchi itakuwa nazo kuliko hali ilivyo hivi sasa.

Dunia itakuwa salama kwa sababu kuu moja, nayo ni kuheshimiana. VIta baridi haikulipuka kuwa vita kamili kwa sababu moja tu nayo ni uwepo wa nyuklia kwa USSR na Marekani na washirika wao.

kama kila nchi itakuwa na silaha hizi basi hakuna nchi itaingilia mambo ya nchi nyingine, kusingekuwa na Libya 'intervention', uvamizi wa Iraq, mgogoro wa Lebanon (1950s), uvamizi wa Palestina, vita vya Syria, vita vya UKraine na kadhalika.

  • Dunia inakosa amani chini ya mfumo wa 'Unipolarity' ambapo taifa moja linaingilia mataifa mengine kadri linavyotaka kisa wana silaha hatari ambazo wengine hawana.
  • Dunia ilikosa amani chini ya mfumo wa 'BI-Polarity' ambapo mataifa mawili yenyenuwezo mkubwa yanafanya yatakavyo.
** Dunia itapata amani kwenye 'Multipolarity' ambapo kila taifa litakuwa na uwezo mkubwa kama mataifa mengine, hivo hakuna taifa litakalojiamulia kuingili jingine. (japo hali hii ya 'multipolarity' ni ngumu sana kutokea)
 
Sio kila kitu cha kushabikia, unajuwa athari za kila nchi kuwa na silaha hatari, Waafrika ni matomaso mpaka muone ndio mtaelewa.
Ni sawa hapa nyumbani si Kila mtu atakiwa kumiliki silaha.
 
Waisrael wanapaswa kuuawa.
Ina maana Iran haijui Jerusalem na Tel Aviv zilipo wapeleke hizo drones kushambulia? Si mnataka kuifuta kwenye ramani ya dunia?

Nendeni mkajaribu ili mgeuzwe majivu na vijana wa Mossad.
 
Mkuu kiukweli sijaelewa basi iweke vizuri tuelewe mantiki ya utaalam wako
 
Umeandika nini
 
Huwezi zuia nchi kuwa na drones.
Hata Tanzania twatakiwa tuunde na tuzioneshe wajue
Ndiyo, ndio maana nimesema walipokuwa wakionyesha ndege na drones zao walikuwa wanaziita toy, mara picha zimekuwa photoshoped lakini hii vita imeonyesha kuwa wana uwezo wa kutengeneza zana za kivita
 
sasa si ufunguke shehe huo wa ndani
 
Isralites na Persians so wa kuwadharau hata kidogo.

Hao wako ma sayansi tangu enzi na enzi.

Vichwa vyao viko moto

Sema dini zinawazubaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…