Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

T14 Armata dudus Bukyanagandi pitieni hapa...
 
Dah!...hii mifumo yote kufanya kazi wakati wote kwa pamoja gharama yake itakuwa kubwa mno.

Hiyo mifumo yote ni land based systems?
 
Haya in mabaki ya ndege ya Ukraine iliyotunguliwa na drone za Iran yaani drone imetungua ndege sio mchezo

arafu drone alizo pewa urusi na Iran in za kitoto au niseme no za kujifunzia shabaha katika ground to air and air to air misseli
 
Sio kila kitu cha kushabikia, unajuwa athari za kila nchi kuwa na silaha hatari, Waafrika ni matomaso mpaka muone ndio mtaelewa.
Kama kuna taifa linatakiwa lisiwe na silaha za hatari basi US namba moja

Kama mpaka US anamiliki NYUK hakuna taifa linalotakiwa kukosa NYUK

Maana siku US kichaa kikimpanda anajiripulia tuuu

US taifa la KIGAIDI nyuma ya UKRAINE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ila kufika mwisho wa dunia NI kimbembe ila UPO.maana kila lenye mwanzo Lina mwisho


Kabisa MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani israel aliwahi pewa ujauzito na babake Irani hadi ampangie
 
Story za kubumba kutoka ktk kitabu kilichokuja na jahazi, hizi dini mtumba zinadanganya sana wa africa na kuwapoteza.

Yaan unanukuu huo uongo ktk kitabu kilicho andikwa na mwanadamua na ww unaamini !!! Yaan huo uongo na upumbavu unataka kuaminisha watu wenye akili timamu? Umerogwa ww
 
wewe wasema
 
Na ww huna lolote, alichokiandika na unachokijibu ni tofauti sana, yaani umekuja na propaganda tu [emoji16]
 
T14 Armata anayeshindwa kukuelewa katika maswara ya weapons knowledge and warfares in general bhasi huyo atakuwa taahira wa ajabu sana wa zama hizi. Shukrani kwa jitihada zako za kuwaelewesha jinsi mambo yalivyo na yanayoendelea katika ulimwengu wa MEDANI. I do appreciate you bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…