Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.
Kwa hili nimechoka akili.
Ushapigwa mkuu,japo inawezekanaNaombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.
Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.
Inawezekana kabisa!Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.
Mimi sikujua kabisa .Inawezekana kabisa
Inawezekana kabisa kuna wadada dawa za kupanga uzazi wa mpango zinawavurugia mzunguko na hata dalili za kuwa mjamzito anaweza asizipate kabisa.Mimi sikujua kabisa .
Hivi wakiwa na mimba zile siku zinawepo?Inawezekana kabisa
Haswaaaa, ila sio kama kawaida.Hivi wakiwa na mimba zile siku zinawepo?