Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

Au niwewe Nini🄓, dogo amezingua sana. Alikuwa haonekani kuwa na wanaume, mtulivu, hajafikisha hata miaka 18, naona maziwa ndio yanakua kwa haraka..hatujagundua tumeenda kumpima anayo tena ya miezi 4, doctor anasema imekimbilia kwenye maziwa yake...yaani katuchosha sana hapa...na aliyempa mimba ni kijana wa Kazi nyumba ya jirani, alimpa elfu 5 tu.....na amekimbia. Miezi minne hatujagundua Hadi zahanati yaani
 
Naombeni elimu hapa ndugu zanguā€ hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajuaā€???

Kwa hili nimechoka akili.
Inawezekana man
Kuna wajinga humu watakushauri upumbavu...Inawezekana tena sana ilitokea kwa shemeji yangu mke wa kaka akiwa na mtoto wa ananyonyesha mtoto wa miezo 9 alishitukia anaugua ghafla kizunguzungu kufika hospitali hakukaa hata muda akajifungua mtoto wa kike tulishangaa sana...
 
Duuuuuh? Hii mbona maajabu?
 
K
Au niwewe Nini🄓, dogo amezingua sana. Alikuwa haonekani kuwa na wanaume, mtulivu, hajafikisha hata miaka 18, naona maziwa ndio yanakua kwa haraka..hatujagundua tumeenda kumpima anayo tena ya miezi 4, doctor anasema imekimbilia kwenye maziwa yake...yaani katuchosha sana hapa...na aliyempa mimba ni kijana wa Kazi nyumba ya jirani, alimpa elfu 5 tu.....na amekimbia. Miezi minne hatujagundua Hadi zahanati yaani
Daaah kazi mnayo, poleni
 
Ee! Yupo mmoja ilifika mpaka miezi minne bila kujua, alidai kuwa ye aliona ni uvimbe tu
 
Back
Top Bottom