Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

miamba sio ugonjwa,hvyo unaweza kutokea na usijue mapema.

Hasa kama n aina ya mwanamke ambaye period yake haielewek wakat mwngne inapta miez hajaona.

Homone zake hazireact changes mapema.

Wanawake wanatofautiana,mwngne wiki ya kwanza tu vitu vishaanza kuvurugka.

Hvyo mkuu hii INAWEZEKANA KABISA,labda kama tu huna iman na mtu wako.
 
Back
Top Bottom