SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
Hiyo yako siyo Period kwa maana ya Menstrual Period ila ni Sub-Chorionic Haemorrhage..Ndio
Mimi miezi mitatu tena nilikuwa naona period. Kama kawa
Nilikuja kupigwa dozi ya duphastone mwanzo mwisho
Nawaheshimu madaktari bingwa WA mloganzila Sana yaani
Hizo njia zina athari mbaya sana kwa wanaozitumia kwa muda mrefu ila inafichwa...Inawezekana kabisa kuna wadada dawa za kupanga uzazi wa mpango zinawavurugia mzunguko na hata dalili za kuwa mjamzito anaweza asizipate kabisa.
Mlifanya tabia mbayašš
DaaahNdio
Mimi miezi mitatu tena nilikuwa naona period. Kama kawa
Nilikuja kupigwa dozi ya duphastone mwanzo mwisho
Nawaheshimu madaktari bingwa WA mloganzila Sana yaani
Ahhhaa kupasha viporo...Apo umekalia spika endelea kusikilizia Dundo.
DahWalifanya matusi...
Hapana nilikuwa nampasha viporo ExMlifanya tabia mbayašš
Dear Ex kanilamba ndoigeKama ameishia Chekechea inawezekana, Vinginevyo hilo ni bomu.
Yaani kiaje? Period anaingia kama kawaida?Inawezekana kabisa!
Hapa family friend wangu hajui alooo li Ex limeniwezaHongera ba kijacho
Round 1 tulichapa na socks zilizofuata zilikuwa kavu, dear Ex kanilamba ngumiNaona ushaangushiwa jumba bovu...
Lea tu kwa kuwa ulipiga kavu...
Mimi napita njia zangu tu mtoto akizaliwa ndio nitajua ukweliYeah inawezekana kama hana akili timamu
Mmmmmmh yaan hadi anaingia hajui kama amebeba kitu?Kuna kipindi cha TLC sijui kama bado kipo, cha wanawake wameingia Labor walikuwa hawajui wana mimba! !
Kwa kweliYeah inawezekana kama hana akili timamu
Hii inatokeaje? Nielekeze au ni homon imbalanceHata 9 KWA baadhi ya wanawake