Inawezekana manNaombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.
Duuuuuh? Hii mbona maajabu?Inawezekana man
Kuna wajinga humu watakushauri upumbavu...Inawezekana tena sana ilitokea kwa shemeji yangu mke wa kaka akiwa na mtoto wa ananyonyesha mtoto wa miezo 9 alishitukia anaugua ghafla kizunguzungu kufika hospitali hakukaa hata muda akajifungua mtoto wa kike tulishangaa sana...
Daaah kazi mnayo, poleniAu niwewe Nini🥴, dogo amezingua sana. Alikuwa haonekani kuwa na wanaume, mtulivu, hajafikisha hata miaka 18, naona maziwa ndio yanakua kwa haraka..hatujagundua tumeenda kumpima anayo tena ya miezi 4, doctor anasema imekimbilia kwenye maziwa yake...yaani katuchosha sana hapa...na aliyempa mimba ni kijana wa Kazi nyumba ya jirani, alimpa elfu 5 tu.....na amekimbia. Miezi minne hatujagundua Hadi zahanati yaani
Alijibu anaona siku zake kama kawaida ila zinarukarukaKwani anaona siku zake kama kawaida?
Mmmh! Siyo kwel
Basi ndiyo maana hakujigunduaSasa anasema na period kaingia kama kawaida miezi 2 ila tarehe zilikuwa zinavhengana, mwenyewe sina akili kwa hilo
Ndio hakugundua hadi jana alipocheki, mzigo ukanasaBasi ndiyo maana hakujigundua
😂😂😂Hata 9 KWA baadhi ya wanawake
NdiooNaombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”???
Kwa hili nimechoka akili.
Wazinifu bhana 😂 Sasa point ya kutumia socks kwenye round YA Kwanza n ipi kama zngn mnaenda kavu?Round 1 tulichapa na socks zilizofuata zilikuwa kavu, dear Ex kanilamba ngumi
Nendeni hospital kutakuwa kuna shidaNdio hakugundua hadi jana alipocheki, mzigo ukanasa
Yeah Kuna inaowatokea hio!
🤣🤣🤣🤣Ushapigwa mkuu,japo inawezekana