Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Khameni amesema Israel and US will pay heavy price
wamekuwa kama iraq wakati ule ilikuwa inabondwa huku waziri wake wa habari akigeuka kituko kwa kauli zake za kuteketeza wavamizi
 
Huo utawala wa Iran unaong'ang'ania kutengeneza nyuklia na kulilia kuifuta Israel uondolewe tu, ni utawala wenye falsafa za kijinga.
Ni sawa lakini hii vita inaweza kuleta shida. Iran ni kama wale madogo hawana nguvu lakini kwenye ugomvi ata akipata jiwe anarusha tu.Kiufupi Iran hii vita akichukulia serious Israel ajipange vizuri maana wao kurusha vitu vyao hovyo hovyo kuelekea Israel sio shida kwao
 
Israel akipigwa

Unasikia piga mbwa huyoo

Akirudisha kichapo ooooh amani ni bora
Aaah hii ya sasa sio man Iran ujue ni kama hana cha kupoteza yeye kurusha vitu zake Israel bila mipangilio hawazi sasa si ndio vita itakuwa mbaya zaidi kwa maana na Israel atajibu
 
Ni kweli. Wao wanarusha tu ili mradi yatadondokea Israel.

Trump aongeze nguvu huo utawala wa Ayatola uondolewe mapema.
 
Hatari. Sasa mambo ya Hamas na Gaza Strip siyasii tena zaidi ya wiki mbili sasa!
 
Ni kweli. Wao wanarusha tu ili mradi yatadondokea Israel.
Kuna mtangazaji kayaita makombora ya Iran kuwa ni "dancing missiles yanayocheza na kunengua viuno kunengua kwenda Israel kuonyesha unenguaji tu"
 
Kuna mtangazaji kayaita makombora ya Iran kuwa ni "dancing missiles yanayocheza na kunengua viuno kunengua kwenda Israel kuonyesha unenguaji tu"
Kama hivi mpaka umeme hakuna
 

Attachments

  • 6106815-665cc1945e178313c32426898222419.mp4
    1.6 MB
Msitutishe, mafuta na gesi vimejaa tele duniani. Hata hapa bongo gesi imejaa tele, Uganda kuna mafuta.

Hahahaha

Ngoja baba yao aungue kwanza
 

Attachments

  • 20250623_125240.jpg
    170.1 KB · Views: 20
Ni kweli. Wao wanarusha tu ili mradi yatadondokea Israel.

Trump aongeze nguvu huo utawala wa Ayatola uondolewe mapema.
Kuondelewa utawala wa Iran na kuwekwa mpya ni sawa lakini what if hii ni spirit ya wa Iran kwa ujumla?(what if).

Nilikuwa nasoma post za aljazeera zinazohusu hii vita ni kama ishakuwa na udini ndani yake na watu wa Iran nikama wanaona kinachofanyika ni ushujaa lakini wakianza kushushiwa mizigo juu ya majumba yao wote tutaona vilio kila pande ya hii dunia

Vita sio nzuri man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…