Wakuu Tehran inaungua muda huu na lango la gereza mashuri la Evin limelipuliwa

Hivi vitu sio vya kuombea wajomba kama hii mambo itaendelea nadhani kila mtu ata pay heavy price kama wasemavyo wakuu wa Iran

Pray for peace
Ni swala la kuomba vita ikome kwakweli madahara yake ni makubwa sana kuliko tunavyo andika humu mitandaoni, vilema,wakimbizi,vifo hasa kwa wasio na nguvu ya kushika mtutu, inasikitisha sana.
 
Poor brain 🙄
 
Kinachofanyika huko sipendelei kabisa dah...ukiitaja Tehran nna historia napo

Ova
Nadhani kwa manufaa ya raia ni vema Iran ingesalimu amri. Wanaoendesha mapambano wao na familia wanaweza kujificha au kukimbia nchi lakini raia wanapoteza maisha au kuwa vilema for life. Haya ni mambo ya hovyo kabisa.
 
Hawa waisrael wanaokimbia nchi hawafai kusalim amri?
 
wamekuwa kama iraq wakati ule ilikuwa inabondwa huku waziri wake wa habari akigeuka kituko kwa kauli zake za kuteketeza wavamizi
Nakumbuka propaganda zake ilikuwa hatari? Kuna wakati aliomba hukumu yake ya kifo itekelezwe sijui iliishia wapi.
 
Ni swala la kuomba vita ikome kwakweli madahara yake ni makubwa sana kuliko tunavyo andika humu mitandaoni, vilema,wakimbizi,vifo hasa kwa wasio na nguvu ya kushika mtutu, inasikitisha sana.
Vita sio,ukiangalia mambo yalivyo Gaza au sehemu yoyote penye machafuko(S.Sudan,Republic of central Africa,DRC nakuendelea) utakaa tu uombe pawe na amani.Vita hapana sio kitu cha kujivunia kama wanadamu
 
Hawa waisrael wanaokimbia nchi hawafai kusalim amri?
Tatizo ni kwamba sasa Iran anapigwa na mataifa mawili na mimi sioni uwezekano wowote wa Iran kushinda. Marekani walizuga kwamba wanatafakari kwa wiki mbili kumbe wapi haikupita hata wiki wakapiga!
 
Tatizo ni kwamba sasa Iran anapigwa na mataifa mawili na mimi sioni uwezekano wowote wa Iran kushinda. Marekani walizuga kwamba wanatafakari kwa wiki mbili kumbe wapi haikupita hata wiki wakapiga!
Mpaka sasa hii vita ni piga nikupige na hakuna dalili ya yeyote kuoneshwa kukata tamaa isipokua mtandaoni ndio tuna peana propaganda na kuvutana wenyewe kwa wenyewe
 
Vita sio,ukiangalia mambo yalivyo Gaza au sehemu yoyote penye machafuko(S.Sudan,Republic of central Africa,DRC nakuendelea) utakaa tu uombe pawe na amani.Vita hapana sio kitu cha kujivunia kama wanadamu
Acha tu nikikumbuka yale ya Rwanda na kuhudumia wakimbizi ni kipindi kugumu sana kile sita kisahau na vita siyo ya kuombea kabisaaa.
 
Mkuu hawa jamaa wanatafuta sababu ya kuifuta irani kabisa katika mpangilio wa kidunia na kuwaacha wawe wanapigana wenyewe kwa wenyewe
 
Hii ikiendelea dunia nzima italipa gharama kupitia bei za mafuta. Viongozi wa Afrika watapata visingizio
Rubio kasema Iran wakichezea kuzuia upitishaji WA mafuta hapo the Strait of Hormuz ni Sawa na kujiua "to commit suicide"
 
Kati ya siku bayo umeongea point ni Leo.

Yaani kilio changu Kila kukicha ni kuona nuclear weapons zikitumika ningali hai.
 
Inaonakana kuna taarifa nyingi za Iran zinavujishwa kwenda Israel
 
Kwa muda mfupi madhara yataonekana baadaye hali itarudi kawaida Hii ilitokea wakati wa vita vya iraki na kuwaiti na Libya
Lakini baada ya vita kwisha hali irudi kawaida
Mkuu Wee akili zako ziko na shida kabisa , unajifanya una hati miliki ya hii nchi kwamba wewe Kila kitu ni kutetea tu imradi imetaja serikali,huu ni upuuzi,mtoa hoja kasema kwenye hii vita kutakuwa na madhara,wewe unatetea kwa kudai yatakuwa ya muda mfupi.

Sasa kwako muda mfupi ni upi,kwani madhara ya muda mfupi sio madhara?

Ndugu acha kujifanya wewe ndo Kinga ya mambo mabaya yote ya serikali, huna hati miliki ya hii nchi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…