Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
😁😁😁😁😁😁 sema mitusi yao inakuwaga sexy sana.Shangazi la mwisho kuwa nalo, ni kama lilikuwa na mapepo. Yani asione scene yoyote ya faragha kwenye movie, lazima anipigie simu "Uko wapi kijana wangu, mwenzio nimebanwa". Sasa ole wake niseme nipo mbali au sitoenda, itafata mvua ya matusi na kejeli 😅