Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Shangazi la mwisho kuwa nalo, ni kama lilikuwa na mapepo. Yani asione scene yoyote ya faragha kwenye movie, lazima anipigie simu "Uko wapi kijana wangu, mwenzio nimebanwa". Sasa ole wake niseme nipo mbali au sitoenda, itafata mvua ya matusi na kejeli 😅Kifuatacho ni kiscroll contact list 😂
Wapi mshangaziiiiii