Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Uoga wako ndio kufeli kwako. Huo u serious wanaokuonesha, huwa ni defensive mechanism tu. Ukikaza unatoboa.

Kuna mmoja alishawahi kuniambia "Hivi unajua wewe mtoto Mimi ni kama Mama yako, ni vile tu huna adabu"

Lakini fast forward wiki kadhaa mbele kauli zake "Sema nikaeje kijana wangu, Mimi nataka uenjoy"

Nakushauri kaza broh, au jitahidi uingie kwenye group la Whatsapp la wanaokula mashangazi.
Mzee hebu niadd kwenye hilo group
 
Mishangazi mingine sio kabisa.. mibahili kwenye pesa.ila napenda ni wacheshi hawana strees, hawachoshi kukaa nao.
 
Ungejua mishangazi inavyopenda mchezo usingeogopa,Cha msingi jifunze kusoma akili yake
 
Back
Top Bottom