Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Wakuu tupeane mbinu za kupata 'mishangazi'

Ofcourse hii ndio key ili usipelekeshwe kama mbuzi, japo certified shangazi lazma awe na advantage ya mpunga na mipango mzee baba.

You are risking your life and killing alot of energy sababu ya kumridhisha kimapenzi lazma kuwe na rewards. Otherwise ni heri kustick na watoto wadogo tu au agemates.
Yap! Sasa hapo ukipata aunt mnyamwezi anakua anakusapoti pale unapokutana na ugumu kwenye mishe zako hata kama sio kifedha,
Mfano kwenye biashara zako unataka upate auditing firm ili upeleke hesabu TRA hyo kazi kikawaida unaweza fanyiwa kwa 500k++ lkn yy akakuconnect sehem ukafanyiwa hata Kwa 150k😁
 
Kwani nasema uongo ndugu zangu....

Sifa kuu ya lishangazi haliombi ombi huduma za kifedha kwa kijana wa buku 2. Ukishaona unalilia kuhudumiwa ndio utoe mbunye ujue we huna sifa ya jishangazi😂 ni freedom fighter tu.
Shangazi linakuwa na mgongano wa maslahi ya umma, hilo ni lipigania uhuru .
 
Back
Top Bottom