utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi.
Wengine hawajawah kufanya kazi za tender zinazotolewa na hizi manispaa au halmashauri, kwahiyo kazi zao ni kupinga kinachofanya na bwana yule...isitoshe na wengine hawajawah kukutana na issue zinazoitwa Ardhi iwe kudhurumiwa na kunyanyaswa na matapeli.
Ukikumbana na hayo hapo juu, ndio utajua umuhimu wa huyu bwana anafanya nini....na ndio ilitakiwa wakuu wa mikoa wote wafanye hivyo