Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hao wako kwenye mifumo ya uwajibikaji. Hakuna popote wanaweza kufanya watakavyo kisha wakabaki kwenye nafasi zao. Tunapozungumza kuhusu mifumo, tunaamaanisha kinachoendelea kwenye nchi ulizozitaja. Sitegemei tuwafikie wao kwa sasa, lakini wangalau tungefanya mifumo kwa mujibu wa maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba.Unaweza kuniambia kikomo Cha uwaziri mkuu wa Uingereza?
Kikomo Cha ukansela wa Ujerumani?
Lakini umeona kiwango chao chaaadili kinavyo wawezesha kutokuwa na waziri mkuu au kansela wa maisha?
Umeona Uingereza wanavyo jiuzuru mawaziri wakuu wanapo ona kuna umuhimu wa kuwajibika?