utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Tunapotaka mifumo ibadalike ni Ili wananchi waweze kuwajibisha viongozi wazembe, wezi na Wala rushwa. Haya mambo ya kutegemea viongozi wanaosaka kiki, hayawezi kutatua utendaji mbovu wa viongozi.Tumsifu Yesu Kristo.
Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi.
Wengine hawajawah kufanya kazi za tender zinazotolewa na hizi manispaa au halmashauri, kwahiyo kazi zao ni kupinga kinachofanya na bwana yule...isitoshe na wengine hawajawah kukutana na issue zinazoitwa Ardhi iwe kudhurumiwa na kunyanyaswa na matapeli.
Ukikumbana na hayo hapo juu, ndio utajua umuhimu wa huyu bwana anafanya nini....na ndio ilitakiwa wakuu wa mikoa wote wafanye hivyo
Vipi na yeye misafara wake umejaza magari ya watu binafsi? Makamera nayo yapo ya kutosha?naona martin shigella naye ameanza kufuata nyayo kwa kutembelea wananchi kutatua kero zao.
Mtihani sanaKwenye suala la ardhi hana Cha kuongea kwa sababu ni tapeli mzuri tuu gsm alitaka kumtoa mavi juzi juzi tuu hapo, kua mtendaji mzuri sio kubeba ma camera kwenda location kutafuta sifa kama anavyo fanya yule maskini wa akili
We Spana tayari wewe!.Kwenye suala la ardhi hana Cha kuongea kwa sababu ni tapeli mzuri tuu gsm alitaka kumtoa mavi juzi juzi tuu hapo, kua mtendaji mzuri sio kubeba ma camera kwenda location kutafuta sifa kama anavyo fanya yule maskini wa akili
Tunapotaka mifumo ibadalike ni Ili wananchi waweze kuwajibisha viongozi wazembe, wezi na Wala rushwa. Haya mambo ya kutegemea viongozi wanaosaka kiki, hayawezi kutatua utendaji mbovu wa viongozi
Bila mabadiliko ya kweli ya mifumo, tutaendelea kushangilia hadaa za wasaka madaraka.Kwahiyo tutegemee nini labda? Tell other way around
Endeleeni kumroga labda mtafanikiwaMganga wake anatumia LAPTOP.. jamaa JEURI linajiamini kinoma.. limejizindika kila dawa.