Wakuu wa Mikoa wote wangefanya kama anachofanya Makonda tungekuwa mbali

Hao wako kwenye mifumo ya uwajibikaji. Hakuna popote wanaweza kufanya watakavyo kisha wakabaki kwenye nafasi zao. Tunapozungumza kuhusu mifumo, tunaamaanisha kinachoendelea kwenye nchi ulizozitaja. Sitegemei tuwafikie wao kwa sasa, lakini wangalau tungefanya mifumo kwa mujibu wa maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…