Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Mkuu wakusikilize vizuri.....
 
Mkuu wakusikilize vizuri.....
Muhusika angekubali hii bado no awamu ya tano na anafanyia kazi ilani ya chama ya 2020 na angeacha watendaji wale wale na kubadili mambo kidogo nakuhakikishia angeomba awamu ijayo wangemuonea huruma wakampa walau Kwa mhula mmoja,lakini kwakua kaifanya hii kama awamu ya kwanza ya kwake halafu Ile nyingine iwe kama ya pili ya kwake kaharibu,umepewa koti la kuazima lifue lirudishe uombe Tena sio unalifanya lako utagombana na mwenye nalo!!
 
Let's wait and see, lakin elim ya zaman inankata sana, maake wajumbe wa elimu hiyo hawatofautiani na Baba levo
 
Let's wait and see, lakin elim ya zaman inankata sana, maake wajumbe wa elimu hiyo hawatofautiani na Baba levo
Ukweli wa elime ya zamani ilijikita kwenye ujamaa na kujitegemea!!

Hii ya Sasa ni office man sio ile!!

Japo hakuna uhusiano wa hiyo elim na lawama zinazotolewa na watz!!

Hao wakuu was shule ndani Yao Kuna mmafisa usalama kwenye mission zao!!

Wakuu mnaitwa kwenye semina Dodoma hamjui nini kitajiri na mchango wenyewe hats 5000/= unaweza usifike piga hesabu ya shule zote nchini gawa kwa 1600000/= uone kila mkuu atatoa sh. Ngapi kama sio buku mbili Hadi tatu!!

Unafika mnapigwa Hela ya semina halafu zinakuja madam uchwara kama hizo ndio wenye akili wanatambua hii sio seminah ni ujasusi was mbio za uraisi za kufa au kupona!!


Mngejua walim tunavofikiria mambo msingekua mnatuona kama tulivyo!no chenga za mwili za kutosha kati yetu na government!!
 
Ila walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
Unajua watu wengi huwa wanawalaumu walimu kwa ujumla ila uhalisia haupo hivyo

Hao ni Makada wa CCM ambao wananufaika na wanayoyafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…