Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Siyo duni ni mafukara sababu ya ujinga wao, 60% ya watumishi wa umma ni walimu lakini wanaendeshwa na kikundi cha watu wachache hakifiki hata 1%, kimsingi walimu ni nyumbu tupu

Na ticha wa maths anafundisha shule ya sekondari X hapa mjini, nimempa kazi ya kufundisha wanangu kila siku jioni. Mambo anayonambia mpaka nilimwonea huruma asee, kwanza shati imepauka utafikiri sio mwalimu, CCM inawaonea sana walimu. [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Haiwaonei wanateswa na ujinga wao
 
Maisha duni kulinganisha na kada ipi? Unaropoka tuu hujui kitu wewe yaani unajifariji Kwa stori za mitaani

Sinaga muda na influenza (machawa) kama wewe, kama umechagua kuwa kada wa CCM kila la kheri.
Kila wanachofanya huwa mnaona sawa hata mkiambiwa mshikwe Makarioo, mtaona sawa. [emoji706][emoji706]
 
Pole Kwa maumivu ,kunywa maji 😁😁
 
sawa, tuseme mama hawezi! ni yupi sasa anayetufaa "kutuvusha" ni yupi!!!!!

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Mhm!! Hawa hawa wanaolalamika christmass kwao haiko vizuri, mama hajaingiza pesa kwenye account zao?!!
 
Back
Top Bottom