ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mbona Viongozi wa Machadema wanayembelea V8,na wewe mbeba bendera una V8? 😁😁Wanaopata shida ni wao na ujinga wao, CCM wanatembea V8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Viongozi wa Machadema wanayembelea V8,na wewe mbeba bendera una V8? 😁😁Wanaopata shida ni wao na ujinga wao, CCM wanatembea V8
📌📌🔨Pole yao
Wajinga nyie mtakaa kwenye umasikini na ufukara miaka yenu yote.Big up kwa wakuu wa shule wenzangu. Tunajitambua na tunajua tunacho kifanya.
CHADEMA hawana njaa ndiyo maana wanamaisha mazuri snMbona Viongozi wa Machadema wanayembelea V8,na wewe mbeba bendera una V8? 😁😁
Siyo duni ni mafukara sababu ya ujinga wao, 60% ya watumishi wa umma ni walimu lakini wanaendeshwa na kikundi cha watu wachache hakifiki hata 1%, kimsingi walimu ni nyumbu tupu
Haiwaonei wanateswa na ujinga waoNa ticha wa maths anafundisha shule ya sekondari X hapa mjini, nimempa kazi ya kufundisha wanangu kila siku jioni. Mambo anayonambia mpaka nilimwonea huruma asee, kwanza shati imepauka utafikiri sio mwalimu, CCM inawaonea sana walimu. [emoji706][emoji706][emoji706]
Maisha duni kulinganisha na kada ipi? Unaropoka tuu hujui kitu wewe yaani unajifariji Kwa stori za mitaani
Uzuri wa CCM inapenda akina mama wajinga kama wewe
Haiwaonei wanateswa na ujinga wao
Pole Kwa maumivu ,kunywa maji 😁😁Sinaga muda na influenza (machawa) kama wewe, kama umechagua kuwa kada wa CCM kila la kheri.
Kila wanachofanya huwa mnaona sawa hata mkiambiwa mshikwe Makarioo, mtaona sawa. [emoji706][emoji706]
Hatari snWanatafuta Madanga
Pole Kwa maumivu ,kunywa maji [emoji16][emoji16]