Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Niliwahi kusema wakuu wa shule za sekondari wanaua elimu hamkuelewa!!
 
tulikuwa na laana moja kwenye nchi ambayo ni CCM,ila kama walimu na wenyewe wamefanya jambo hilo basi itakuwa ni laana ya pili
 
Kuna taarifa za Chini chini kuwa kuna uwezekano Zikaprintiwa Fomu zaidi ya 1 Mwaka 2025, lengo ni kumuondoa kwenye kinyang'anyilo aliyepo.
Mnajidanganya, mwenyekiti wa CCM hawezi kupingwa na yoyote. JK licha ya udhaifu wote shibuda alichukua fomu akafukuzwa same to Membe kwa JPM alifukuzwa. Nikwambie tu hapa mgombea wa CCM 2025 ni Samia na fomu ni moja tu.
 
Ndiyo hii taarifa nikasema nitaifatilia kwa undani, maana niliipata kwa Kada mmoja Mkongwe aliyehudumu Serikalini na Chamani kwa miaka 48 sasa.

Huenda kuna vuguvugu la ndani ya Chama linaendelea.

Thanks for your concern though
 
Unajua kuwa Umoja wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA) wameshamaliza kazi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025? Walimu wako Serious sana kwa hili wamekua wa kwanza na wamevunja rekodi katika kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani!

My take, Hawa ndo wasimamizi wa wasimamizi wa uchaguzi
FB_IMG_1703060688808.jpg
FB_IMG_1703060685597.jpg
FB_IMG_1703060679596.jpg
 
Unajua kuwa Umoja wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA) wameshamaliza kazi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 2025? Walimu wako Serious sana kwa hili wamekua wa kwanza na wamevunja rekodi katika kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassani!

My take, Hawa ndo wasimamizi wa wasimamizi wa uchaguziView attachment 2847924View attachment 2847925View attachment 2847926
Na lazima wasimamie na uchaguzi.

Walimu Wana Kila sababu ya kumchukulia fomu Rais Kwa sababu
-Amelipa madai Yao
-Amewapandisha madaraja
-Wakuu wanapata posho ya madaraka
-Ameboresha maslahi Yao kwa.kuongeza salaries
-Ajira Kwa maelfu ya walimu
-Amefuta mikopo Madeni na riba za Bodi ya Mikopo
-Anawajengea nyumba za kuishi Vijijini
-Ameboresha sana mazingira ya kazini kwao kuanzia usafiri Hadi Ofisi nzuri
 
Back
Top Bottom