Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😁😀😃😅😅NAOMBENI WALIMU WENGINE TUSIHUSISHWE,HAO NI MACHAWA WA CCM WAKUU WA SHULE WASIO NA KAZI SHULENI NI KUTINGISHA MAKALIO NDIO WANAJUQ
Tuwaache Na Ujinga WaoWho cares
Hahaa wanaona wamejipata
Mkuu wakusikilize vizuri.....Naona wengi mnawalaumu walimu!
Lakini hamjui masterminder was haka kamchezo amelenga nini!!
Wewe unashangaa hicho kimkutano haujui wakati was jiwe kulikua na umoja wa chama Cha mapinduzi walimu na tulikusanyika Kila mkoa kuanzia 2020 july,na ilikua shangwe mhusika alipoupata urais Kwa term la pili Kwa shangwe lite lile alidumu Kwa muda Gani madarakani!!?
Ukiona ushabiki no mwingi Kwa mhusika ujue roho ya mhusika inasherehekewa Ili Roho iuache mwili kiaharaka au aache kile anachokitamani!!
Muwe mnayatazama mambo Kwa muono tofauti sio kama muonavyo!!!
Hao nao ni chawa?!
Muhusika angekubali hii bado no awamu ya tano na anafanyia kazi ilani ya chama ya 2020 na angeacha watendaji wale wale na kubadili mambo kidogo nakuhakikishia angeomba awamu ijayo wangemuonea huruma wakampa walau Kwa mhula mmoja,lakini kwakua kaifanya hii kama awamu ya kwanza ya kwake halafu Ile nyingine iwe kama ya pili ya kwake kaharibu,umepewa koti la kuazima lifue lirudishe uombe Tena sio unalifanya lako utagombana na mwenye nalo!!Mkuu wakusikilize vizuri.....
Waalimu wana utashi gani kama wamekalishwa mwanza wiki nzima kusubiri waziri mkuu akafungue mkutano kama vile hakuna mtu anaweza fungua mkutano zaidi yake.Sina hakika kama wamefanya kwa utashi wao!
Let's wait and see, lakin elim ya zaman inankata sana, maake wajumbe wa elimu hiyo hawatofautiani na Baba levoNyie watu hamwelewi kabisa hii move nyie!!
Ishu sio kuchanga fedha ishu ni hii technic ilivyo ni ya kumuingiza incumbent madarakani Kwa mara nyingine!!?
Kikwete,mkapa wakati wa awamu ya piliyao walifanys move kama hizi!!?
Kama mama ana uhakika kwanini afanye haya!!?
Wanaomruhusu afanye haya wanataka state of mind yake iweje !?iwe comfort zone ili iweje!!?
Huwezi shambulia wakati adui yupo conscious lazima awe comfort zone ndio owe Rahisi!!
Bad move kwakweli Bad move!!!
Ukweli wa elime ya zamani ilijikita kwenye ujamaa na kujitegemea!!Let's wait and see, lakin elim ya zaman inankata sana, maake wajumbe wa elimu hiyo hawatofautiani na Baba levo
Tayar mshachafukaNAOMBENI WALIMU WENGINE TUSIHUSISHWE,HAO NI MACHAWA WA CCM WAKUU WA SHULE WASIO NA KAZI SHULENI NI KUTINGISHA MAKALIO NDIO WANAJUQ
Unajua watu wengi huwa wanawalaumu walimu kwa ujumla ila uhalisia haupo hivyoIla walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.