REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
Ubarakaka, Unafiki, kujikomba, na kujipendekeza ni Kansa ya hatari sana inayodumaza Maendeleo barani Afrika.
Sio wote hao ni mazuzu qakuu wa shuleIla walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
Huyu angemaliza tu kwa amani kwa huu utawala wa uliomdondokea kama embe, aende kulea wajukuu kwa amani tuWameanza Walimu, kundi linalofuata ni Watu wa Afya, Movie bado haijaisha.
Kuna taarifa za Chini chini kuwa kuna uwezekano Zikaprintiwa Fomu zaidi ya 1 Mwaka 2025, lengo ni kumuondoa kwenye kinyang'anyilo aliyepo.
Ngoja nifatilie undani wa hii Taarifa.
But wishing her all the best of Luck.
Siasa mashuleni.