Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Wenyewe wezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndio mjinga ondoka kwenye nchi yetuTanzania, Kisiwa cha ujinga.
We hata hiyo akili unayo?Ila walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
We kaamke usingizini inaonekana umevimbiwaWameanza Walimu, kundi linalofuata ni Watu wa Afya, Movie bado haijaisha.
Kuna taarifa za Chini chini kuwa kuna uwezekano Zikaprintiwa Fomu zaidi ya 1 Mwaka 2025, lengo ni kumuondoa kwenye kinyang'anyilo aliyepo.
Ngoja nifatilie undani wa hii Taarifa.
But wishing her all the best of Luck.
Akifika kazi wanayo 😂😂😂, ila maticha wa primary huwa na mambumbumbu sana, yan wao ni wakumchangia mama samia ? Daaah
Mfumo upo kazini!!?
🚮We hata hiyo akili unayo?
Hiyari ya lazima,huwa ninawaona hata kwenye mwenge wanachangia huku pembeni wanaumia.Ila walimu daah sijui akili zao wamezikalia? Njaa mbaya sana.
Kuna tetesi kwamba elimu ya zamani ilkua bora kuliko hii ya sasa
Nyie watu hamwelewi kabisa hii move nyie!!Kuna tetesi kwamba elimu ya zamani ilkua bora kuliko hii ya sasa
Naona wengi mnawalaumu walimu!Nitawzaungukia walimu wakuu wote kwenye kata yangu wanieleze vizuri.
Halafu nije nione uzi wa malalamiko ya walimu hapa JF ndiyo watanitambua.
Amina! Amina! Amina! Na ikawe hivyo.Ukiona ushabiki no mwingi Kwa mhusika ujue roho ya mhusika inasherehekewa Ili iuache mwili kiaharaka au aache kile anachokitamani!!