Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

Wameanza Walimu, kundi linalofuata ni Watu wa Afya, Movie bado haijaisha.


Kuna taarifa za Chini chini kuwa kuna uwezekano Zikaprintiwa Fomu zaidi ya 1 Mwaka 2025, lengo ni kumuondoa kwenye kinyang'anyilo aliyepo.

Ngoja nifatilie undani wa hii Taarifa.

But wishing her all the best of Luck.
We kaamke usingizini inaonekana umevimbiwa
 
Walimu!
 

Attachments

  • 3EFB6233-87DF-407E-8A6F-4F4BD8FBD86C.jpeg
    3EFB6233-87DF-407E-8A6F-4F4BD8FBD86C.jpeg
    20.7 KB · Views: 2
Nitawzaungukia walimu wakuu wote kwenye kata yangu wanieleze vizuri.

Halafu nije nione uzi wa malalamiko ya walimu hapa JF ndiyo watanitambua.
 
Kuna tetesi kwamba elimu ya zamani ilkua bora kuliko hii ya sasa
Nyie watu hamwelewi kabisa hii move nyie!!

Ishu sio kuchanga fedha ishu ni hii technic ilivyo ni ya kumuingiza incumbent madarakani Kwa mara nyingine!!?

Kikwete,mkapa wakati wa awamu ya piliyao walifanys move kama hizi!!?

Kama mama ana uhakika kwanini afanye haya!!?

Wanaomruhusu afanye haya wanataka state of mind yake iweje !?iwe comfort zone ili iweje!!?


Huwezi shambulia wakati adui yupo conscious lazima awe comfort zone ndio owe Rahisi!!

Bad move kwakweli Bad move!!!
 
Nitawzaungukia walimu wakuu wote kwenye kata yangu wanieleze vizuri.

Halafu nije nione uzi wa malalamiko ya walimu hapa JF ndiyo watanitambua.
Naona wengi mnawalaumu walimu!

Lakini hamjui masterminder was haka kamchezo amelenga nini!!

Wewe unashangaa hicho kimkutano haujui wakati was jiwe kulikua na umoja wa chama Cha mapinduzi walimu na tulikusanyika Kila mkoa kuanzia 2020 july,na ilikua shangwe mhusika alipoupata urais Kwa term la pili Kwa shangwe lite lile alidumu Kwa muda Gani madarakani!!?

Ukiona ushabiki no mwingi Kwa mhusika ujue roho ya mhusika inasherehekewa Ili Roho iuache mwili kiaharaka au aache kile anachokitamani!!

Muwe mnayatazama mambo Kwa muono tofauti sio kama muonavyo!!!
 
Back
Top Bottom