Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 2,311
- 4,689
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !
Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata nyama iliyokithiri madawa na sumu. Fikiria unakunywa supu ya ng'ombe aliyechomwa sindano jana
Imebainika kuwa sumu iliyopo ndani ya nyama ya ng'ombe kwa sasa ni hatari sana kwa afya ya binadamu. Tutaendelea kupoteza nguvu kazi kwa kuendekeza tamaduni za kisasa ambazo zina athari kuubwa kwa walaji
Nyama ya zamani ilikuwa asilia, ng'ombe walitibiwa kiasili na sio kwa masindano yenye madawa makali.
Supu ya zamani ukinywa unaboresha afya yako lakini supu ya sasa ukinywa unabaribu kongosho, mapafu, ini na figo
Waangalie wala nyama wa kisasa na wale wa zamani, wala nyama wa kisasa wanavimba usoni na miguuni, ukienda pale Vingunguti upimaji wa nyama sio wa kiwango cha kimaabara ni upimaji local wa kizamani wa kuitazama nyama kwa macho na kuigonga mhuri
Kuna ng'ombe wanafika mnadani wakiwa dhohofu wanapigwa sindano ya Busta na kupelekwa Vingunguti kwa ajili ya kitoweo!
Wizara ya mifugo iweke wazi aina ya madawa inayotumia kuwatibu ng'ombe na madhara yake kwa binadamu.