DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yani hata mboga za majani inapuliziwa viwatilifu leo kesho ipo sokoni
 
Kuna wengine huku wanachoma sindano ya formalin kwa ajili ya utunzaji...kwa kweli hali c nzuri
 
Tatizo watumishi wa wizara ya mifugo hawajui majukumu yao.kwa Dunia ya Sasa ukitaka ule chakula ambacho hakina kemikali ni Bora uwe na eneo lako ukafuga kuku Kwa njia za asili ili ule nyama Bora na haya ya madawa unawaachia wajuaji.
Humu tuna vilaza wengi sana
 
Ndio maana nakula zangu samaki na labda nyama pori,hizo mlizoletewa na EU/US kwa hisani yao ili muugue na kupunguzwa endeleeni kufurahia,watu wanaugua magonjwa ya ajabu sn kupitia vyakula
Hakika
 
Nyama tamu sana nyie hasa ikiungwa na nyanya na vikorombwezo vingine huwezi kuwaza haya mambo ya cancer [emoji886] ukiwa unaikula but unfortunately ndiyo tunaishi mara moja na kufa...
Du sawa bwana
 
Namshukuru Mungu nimeachana na nyama ya ngombe na mbuzi
! Sasa hivi ni mwendo wa samaki na kuku!
 
Acha ujuaji.

ni dawa gani wamechomwa?

Sindano ya Busta ni nini?

Unajua maana ya withdrawal period?

Aache ujuaji
Wewe umeandika nini.. Maswali ya nini elezea yako usomeke kama una nondo unampinga alivyoandika kwa uhakika...

Nyama kasema ina hayo.. Tumemsikia.. Wewe unasemaje tukusome yako?
 
Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !

Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata nyama iliyokithiri madawa na sumu. Fikiria unakunywa supu ya ng'ombe aliyechomwa sindano jana

Imebainika kuwa sumu iliyopo ndani ya nyama ya ng'ombe kwa sasa ni hatari sana kwa afya ya binadamu. Tutaendelea kupoteza nguvu kazi kwa kuendekeza tamaduni za kisasa ambazo zina athari kuubwa kwa walaji

Nyama ya zamani ilikuwa asilia, ng'ombe walitibiwa kiasili na sio kwa masindano yenye madawa makali.

Supu ya zamani ukinywa unaboresha afya yako lakini supu ya sasa ukinywa unabaribu kongosho, mapafu, ini na figo

Waangalie wala nyama wa kisasa na wale wa zamani, wala nyama wa kisasa wanavimba usoni na miguuni, ukienda pale Vingunguti upimaji wa nyama sio wa kiwango cha kimaabara ni upimaji local wa kizamani wa kuitazama nyama kwa macho na kuigonga mhuri

Kuna ng'ombe wanafika mnadani wakiwa dhohofu wanapigwa sindano ya Busta na kupelekwa Vingunguti kwa ajili ya kitoweo!

Wizara ya mifugo iweke wazi aina ya madawa inayotumia kuwatibu ng'ombe na madhara yake kwa binadamu.
Ni muhimu pakawa na ushahidi halisi gentleman,
hata hivyo nyama ikichemshwa vizuri haina madhara kwa afya ya mlaji 🐒
 
Back
Top Bottom