Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Sasa ukija kuongezea na VITISHO KUTOKA KWA DR JANABI SHINIKIZO LA DAMU NA UNYONG'ONYEVU VINAONGEZEKA MARA KIHARUSI HIKI HAPA.
Mboga za majani pia ni sumu. Suluhisho ni kufa njaa.1. Nguruwe anasemwa
2. Dona linasemwa
3. Sembe linasemwa
4. Ng'ombe anasemwa
5. Maziwa yanasemwa
6. etc
Kuna siku tutaambiwa tusile kitu
Ongeza bucha za Mika Meat Limited hahaha ni plastic meat halafu wanasema halala yaani ni mwendo wa magonjwa tu tunapigwa huku na kule. Yaani kwa ufupi zao halisi limebaki ni nyama toka kwa wafugaji kama pugu au mitaaniNdugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !
Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata nyama iliyokithiri madawa na sumu. Fikiria unakunywa supu ya ng'ombe aliyechomwa sindano jana
Imebainika kuwa sumu iliyopo ndani ya nyama ya ng'ombe kwa sasa ni hatari sana kwa afya ya binadamu. Tutaendelea kupoteza nguvu kazi kwa kuendekeza tamaduni za kisasa ambazo zina athari kuubwa kwa walaji
Nyama ya zamani ilikuwa asilia, ng'ombe walitibiwa kiasili na sio kwa masindano yenye madawa makali.
Supu ya zamani ukinywa unaboresha afya yako lakini supu ya sasa ukinywa unabaribu kongosho, mapafu, ini na figo
Waangalie wala nyama wa kisasa na wale wa zamani, wala nyama wa kisasa wanavimba usoni na miguuni, ukienda pale Vingunguti upimaji wa nyama sio wa kiwango cha kimaabara ni upimaji local wa kizamani wa kuitazama nyama kwa macho na kuigonga mhuri
Kuna ng'ombe wanafika mnadani wakiwa dhohofu wanapigwa sindano ya Busta na kupelekwa Vingunguti kwa ajili ya kitoweo!
Wizara ya mifugo iweke wazi aina ya madawa inayotumia kuwatibu ng'ombe na madhara yake kwa binadamu.
Mbegu asili nyingi wameziua,mwanzo wazazi walikua wakivuna mazao wanaweka mbegu kwa ajili ya msimu ujao,mazao ya sasa ukiweka mbegu unakutana na unga badala ya mbegu kwakua zimebadilishwa kupitia madawa ili msimu ukifika ukanunue tena madukani mwao.Dunia imeharibiwa sana.
Tunalishwa mauchafu ya kila aina.
Hata nanasi linadungwa sindano!!!
Unakutana na nanasi lina matiti na mbunye. Hovyo kabisa!!
Tutawasusia mananasi yenu yenye MACHANJO myale wenyewe na baba zenyu.
Cc: Dkt. Gwajima D DR Mambo Jambo NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable min -me Extrovert Lamomy chiembe Mudawote Nyani Ngabu
Sasa tutakula nini,mahindi yakiwa ghalani yanapigwa dawa,maji tunayokunywa hasa haya ya chupa ni madawa tupu ili kutoa uchafu na kuyafanya yakae muda mrefu,bia na mapombe yote lazima uweke madawa ili isiharibike haraka,michicha nayo ni madawa tupu ili isiliwe na wadudu,bado hujaja kwenye ma apple ambayo yanadungwa sindano,bila kusahau kuku wa kizungu anayekunywa dawa mpaka siku anayouzwa.Kiujumla sijui nani atapona kwenye hili....Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !
Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata nyama iliyokithiri madawa na sumu. Fikiria unakunywa supu ya ng'ombe aliyechomwa sindano jana
Imebainika kuwa sumu iliyopo ndani ya nyama ya ng'ombe kwa sasa ni hatari sana kwa afya ya binadamu. Tutaendelea kupoteza nguvu kazi kwa kuendekeza tamaduni za kisasa ambazo zina athari kuubwa kwa walaji
Nyama ya zamani ilikuwa asilia, ng'ombe walitibiwa kiasili na sio kwa masindano yenye madawa makali.
Supu ya zamani ukinywa unaboresha afya yako lakini supu ya sasa ukinywa unabaribu kongosho, mapafu, ini na figo
Waangalie wala nyama wa kisasa na wale wa zamani, wala nyama wa kisasa wanavimba usoni na miguuni, ukienda pale Vingunguti upimaji wa nyama sio wa kiwango cha kimaabara ni upimaji local wa kizamani wa kuitazama nyama kwa macho na kuigonga mhuri
Kuna ng'ombe wanafika mnadani wakiwa dhohofu wanapigwa sindano ya Busta na kupelekwa Vingunguti kwa ajili ya kitoweo!
Wizara ya mifugo iweke wazi aina ya madawa inayotumia kuwatibu ng'ombe na madhara yake kwa binadamu.
Hili ni tatizo kubwa na tumeshalikumbatia ndugu,inasikitisha sanaMbegu asili nyingi wameziua,mwanzo wazazi walikua wakivuna mazao wanaweka mbegu kwa ajili ya msimu ujao,mazao ya sasa ukiweka mbegu unakutana na unga badala ya mbegu kwakua zimebadilishwa kupitia madawa ili msimu ukifika ukanunue tena madukani mwao.
na hii ni mpaka kwa wanyama yaani bilakuwadunga hizo sindano unakuta mnyama anaumwa kila wkt.
Hahaaa, Mimi siachi kula nyama mpaka itokee tumbo langu liikatae.1. Nguruwe anasemwa
2. Dona linasemwa
3. Sembe linasemwa
4. Ng'ombe anasemwa
5. Maziwa yanasemwa
6. etc
Kuna siku tutaambiwa tusile kitu
Nyama ya Ng'ombe wa sasa inayo kuwa processed na Tamaduni za kisasa ina athari zake hasi.Imebainika kuwa sumu iliyopo ndani ya nyama ya ng'ombe kwa sasa ni hatari sana
supu peke yake?, supu ya nyama ya ng'ombe enye sumu? Supu ya Xpel?supu ya sasa ukinywa unabaribu kongosho, mapafu, ini na figo
....kwamba huu upimaji wa nyama wa kizamani wa kutizama nyama una athiri supu😂😂😂😂😂😂ukienda pale Vingunguti upimaji wa nyama sio wa kiwango cha kimaabara ni upimaji local wa kizamani wa kuitazama nyama kwa macho na kuigonga mhuri
Sasa nani anahakikisha hayo yanatekelezwa?? Ipasavyo?,,na rushwa zinazotembea jamani,kwa ni mungu pekee ndo atulindae,tuzidi kumuomba sana.Withdrawal period ni kipindi cha kujiondoa kwa dawa kwenye mwili wa mnyama kabla ya products ambazo ni nyama, maziwa,mayai) kutumika na binadamu,
kwa mfano kama mnyama alikua anaumwa alafu dawa iliyotumika ni
OTC 10%,20% 3days
Drugs Withdrawal perd
Penstrep 72 hrs
Sulfa drugs 72hrs
Multivitamin NIL
Supermec 72hrs
Calcium injection. NIL
Oxytocin hormone. NIL
Dexa. 72hrs
baada ya hiyo withdrawal period kuisha nyama, maziwa inakuwa fit for human consumption.
Hayo ni baadhi ya madawa na WDP zake
Na hakuna vet ataekubali mnyama aliechinjwa akiwa kwenye dose na withdrawal period haijaisha apelekwe buchani never huwa anai_ condemn either ichimbiwe au ichomwe moto into ash.
meat inspection ndio part muhimu ambayo vet anakuwa makini sana maana akikosea steps kidogo tu atakuwa kacheza na afya za watu...vifo vinaweza kutokea.Sasa nani anahakikisha hayo yanatekelezwa?? Ipasavyo?,,na rushwa zinazotembea jamani,kwa ni mungu pekee ndo atulindae,tuzidi kumuomba sana.
Hiyo tahadhari inauzwa wapi?Eeeh weee teh tehee teehee,uenda ikawa,lkn itakuwa hatari,, mhimu kwasasa yafaa tule kiasi na pia tuchukue tahadhari kubwa.
Tena ukute rost la kitimoto, weeeee..!!Endelea kupiga tu
hao VET wana uraia wa Tanganyika hii hii au?Withdrawal period ni kipindi cha kujiondoa kwa dawa kwenye mwili wa mnyama kabla ya products ambazo ni nyama, maziwa,mayai) kutumika na binadamu,
kwa mfano kama mnyama alikua anaumwa alafu dawa iliyotumika ni
OTC 10%,20% 3days
Drugs Withdrawal perd
Penstrep 72 hrs
Sulfa drugs 72hrs
Multivitamin NIL
Supermec 72hrs
Calcium injection. NIL
Oxytocin hormone. NIL
Dexa. 72hrs
baada ya hiyo withdrawal period kuisha nyama, maziwa inakuwa fit for human consumption.
Hayo ni baadhi ya madawa na WDP zake
Na hakuna vet ataekubali mnyama aliechinjwa akiwa kwenye dose na withdrawal period haijaisha apelekwe buchani never huwa anai_ condemn either ichimbiwe au ichomwe moto into ash.
ndiyohao VET wana uraia wa Tanganyika hii hii au?
Anawahi supu. Unaandika bila kuruka hata Nafasi 🤔??,
. Una haraka ya wapi??