Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Majani na matunda ni mpango mzimaKiujumla tu ulaji wa nyama hasa nyekundu ni hatari kwa afya
Majani na matunda ni mpango mzimaKiujumla tu ulaji wa nyama hasa nyekundu ni hatari kwa afya
Unaweza ukawa sahihi lkn hisia zimekuzidi Sana! vipi unaweza ukafafanua kidogo ni dawa gani wanachomwa hao wanyama na ina kemikali gani hatari na inafanyaje hadi hizo figo zifeli?Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa !
Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata nyama iliyokithiri madawa na sumu. Fikiria unakunywa supu ya ng'ombe aliyechomwa sindano jana
Imebainika kuwa sumu iliyopo ndani ya nyama ya ng'ombe kwa sasa ni hatari sana kwa afya ya binadamu. Tutaendelea kupoteza nguvu kazi kwa kuendekeza tamaduni za kisasa ambazo zina athari kuubwa kwa walaji
Nyama ya zamani ilikuwa asilia, ng'ombe walitibiwa kiasili na sio kwa masindano yenye madawa makali.
Supu ya zamani ukinywa unaboresha afya yako lakini supu ya sasa ukinywa unabaribu kongosho, mapafu, ini na figo
Waangalie wala nyama wa kisasa na wale wa zamani, wala nyama wa kisasa wanavimba usoni na miguuni, ukienda pale Vingunguti upimaji wa nyama sio wa kiwango cha kimaabara ni upimaji local wa kizamani wa kuitazama nyama kwa macho na kuigonga mhuri
Kuna ng'ombe wanafika mnadani wakiwa dhohofu wanapigwa sindano ya Busta na kupelekwa Vingunguti kwa ajili ya kitoweo!
Wizara ya mifugo iweke wazi aina ya madawa inayotumia kuwatibu ng'ombe na madhara yake kwa binadamu.
mkuu ushahidi plzNyama fresh ni kufuga mwenyew nje ya hapo utalishwa San vibudu, watu wanafukua mpka ng'ombe aliyezikwa Kwa kufa na magonjwa na wanauza mabuchani.
Hizo nazo zina marbug na mpoxMtoa mada anataka tuanze kukimbizana na magemu hifadhini tukiwinda nyama pori sasa
Maana wao pekee ndiyo hawachomwi hayo masindano 🙌
Na hao magemu walivyo na hasira na Nyati/swala zao, wakikukuta kule hifadhini lazima wakupige Risasi 😜
Hiyo ni kweli Mkuu?Hizo nazo zina marbug na mpox
Sea food nyingi bei zake zimechangamkaMie napendaga sn seafood, ila ndio hawanunuliki sasa. Wacha tule maharage na kachumbari
Ila ndio ivo...tukila tutakufa, hatujala tutakufa
Wallah boss wanguSea food nyingi bei zake zimechangamka
Ukipita hapo Forodhani Kwa namna bei ya vyakula ilivyo changamka unaweza kushindwa kumudu gharama 🙌
Kama ulivyosema, ukila utakufa usipokula utakufa
Maisha yamepanda sana miaka hiiWallah boss wangu
Sie tupo zenji lkn sio ile zenji ya zamani. Saivi hata lile dagaa la kuosha tu au Tonge kwa Tonge basi uwe na kipato kinoeleweka. Wakati zamani unaweza kuletewa dagaa ndoo nzima unaambiwa elfu 2. Wazee wetu wanatwambia nyumbani wakiletwa samaki wanawasafisha mpk wengine wanaenda kuwatupa kwa walivo wengi na bei chee
Pole sana. Zanzibar maisha yapo jui, hao wafanyabiashara wanatuona sote kama watalii 😅Maisha yamepanda sana miaka hii
Nilikuja kupumzika hapo Zanzibar last December
Aisee maisha yako juu sana, kuanzia chakula na hotel pia
Hotel ilikuwa 120k per night na I had kids with me kwahiyo nilikuwa na room mbili
Kuja hapo Forodhani kula seafood nako bei haishikiki
Walifanya nimalize pension yote Babu yenu 😜
Walimwengu hawa1. Nguruwe anasemwa
2. Dona linasemwa
3. Sembe linasemwa
4. Ng'ombe anasemwa
5. Maziwa yanasemwa
6. etc
Kuna siku tutaambiwa tusile kitu
Asante MkuuPole sana. Zanzibar maisha yapo jui, hao wafanyabiashara wanatuona sote kama watalii 😅
Tukijaaliwa. Karibu snAsante Mkuu
Mwezi June nitakuja tena panapo majaaliwa
Ngoja niandae kibunda tu 🤗