DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Gentleman,

Sumu ikichemeshwa haina madhara?

Lile CHANJO analodungwa ng'ombe kabla ya kuchinjwa lina faida gani?
hiyo ni habari ambayo si halisi,
mnyama yeyote yule akidungwa sindano, mathalan sehemu ya shingo yake,
eneo hilo lote lililodungwa sindano hubaki na alama iliyosambaa sumu ya ile dawa alodungwa nayo, kitu ambacho hutofautisha rangi ya nyama kwa mnyama huyo na sehemu zingine.

uhalisi wa nyama hupotea na hutisha walaji.

nadhan mdau hajasema jambo halisšŸ’
 
Nachelea kusema kwamba umeanza janja janja.

Nyoosha maelezo ili watanganyika wapate kupona.
 
1. Nguruwe anasemwa
2. Dona linasemwa
3. Sembe linasemwa
4. Ng'ombe anasemwa
5. Maziwa yanasemwa
6. etc

Kuna siku tutaambiwa tusile kitu
Eeeh weee teh tehee teehee,uenda ikawa,lkn itakuwa hatari,, mhimu kwasasa yafaa tule kiasi na pia tuchukue tahadhari kubwa.
 
hiyo ni habari ambayo si halisi,
mnyama yeyote yule akidungwa sindano, mathalan sehemu ya shingo yake,
eneo hilo lote lililodungwa sindano hubaki na alama iliyosambaa sumu ya ile dawa alodungwa nayo, kitu ambacho hutofautisha rangi ya nyama kwa mnyama huyo na sehemu zingine.

uhalisi wa nyama hupotea na hutisha walaji.

nadhan mdau hajasema jambo halisšŸ’
Uhalisi wa nyama hupotea na hutisha walaji "",,ulichosema hapo kinatofauti gani na cha mtoa mada!?
 
Gentleman,

Nachelea kusema kwamba umeanza janja janja.

Nyoosha maelezo ili watanganyika wapate kupona.
si kweli ati kuna muuzaji au mnunuzi wa mifugo wa nyama akamdunga sindano mnyama na kisha akamchinja mnyama aliedungwa sindano na kumuwka buchani kama kitoweo. Jeraha la sindano na kusambaa kwa sumu kwenye mwili wa mnyma huathiri ubora wa nyama na kumsababishia hasara kwa muuzaji huyo. Kwasababu sehemu iliyodungwa haitafaa kuliwa na hayupo wa kununua kitoweo cha aina hiyo ispokua kwenye ile mishikaki ya mia mia mitaani:pulpTRAVOLTA:
 
Uhalisi wa nyama hupotea na hutisha walaji "",,ulichosema hapo kinatofauti gani na cha mtoa mada!?
mnunuzi wa mnyama huyo hawezi kumchinja kisha akapata hasara ya kutupa eneo lote lenye athari ya sindano.

so,
si kweli kwamba mnyama anachomwa sindano na hapo hapo anachinjwa :pulpTRAVOLTA:
 
Juzi nimesikia mtu akisema samaki wa ziwa victoria, yani hakuna kilicho sahihi kwa binadamu wakati huu.
 
Kuna siku niliagiza nyama ya ng'ombe buchani, ila ilivyopikwa niliogopa hata kuila.....hivi kuna nyama ya ng'ombe nyeupe? ile nyama ilikua ni nyeupe kama broiler japo ina nyuzi nyuzi kama ya ng'ombe. Sijawahi ona ya hivo
 
Sawa mkuu ameshaleta taharuki huyu sasa badala ya kumteka ebu mwaga nondo maana ya hiyo withdrawal period
Withdrawal period ni kipindi cha kujiondoa kwa dawa kwenye mwili wa mnyama kabla ya products ambazo ni nyama, maziwa,mayai) kutumika na binadamu,

kwa mfano kama mnyama alikua anaumwa alafu dawa iliyotumika ni
Drugs Withdrawal perd
OTC 10%,20% 3days
Penstrep 72 hrs
Sulfa drugs 72hrs
Multivitamin NIL
Supermec 72hrs
Calcium injection. NIL
Oxytocin hormone. NIL
Dexa. 72hrs

baada ya hiyo withdrawal period kuisha nyama, maziwa inakuwa fit for human consumption.

Hayo ni baadhi ya madawa na WDP zake
Na hakuna vet ataekubali mnyama aliechinjwa akiwa kwenye dose na withdrawal period haijaisha apelekwe buchani never huwa anai_ condemn either ichimbiwe au ichomwe moto into ash.
 
Withdrawal period ni kipindi cha kujiondoa kwa dawa kwenye mwili wa mnyama kabla ya products ambazo ni nyama, maziwa,mayai) kutumika na binadamu,

kwa mfano kama mnyama alikua anaumwa alafu dawa iliyotumika ni
DrugsWithdrawal perd

Safi Sana mkuu. Jibu zuri na la kitaalam
 
Kuna siku niliagiza nyama ya ng'ombe buchani, ila ilivyopikwa niliogopa hata kuila.....hivi kuna nyama ya ng'ombe nyeupe? ile nyama ilikua ni nyeupe kama broiler japo ina nyuzi nyuzi kama ya ng'ombe. Sijawahi ona ya hivo
Primarily happened due to a lower concentration of myoglobin ,age of the animal slaughtered labda alikua ndama, it's diet and types of muscle fiber present.

so nyama ya bovine kuwa nyeupe inachangiwa na hizo factors hapo juu.
 
Withdrawal period ni kipindi cha kujiondoa kwa dawa kwenye mwili wa mnyama kabla ya products ambazo ni nyama, maziwa,mayai) kutumika na binadamu,

kwa mfano kama mnyama alikua anaumwa alafu dawa iliyotumika ni
DrugsWithdrawal perd
OTC 10%,20% 3days
Penstrep 72 hrs
Sulfa drugs 72hrs
Multivitamin NIL
Supermec 72hrs
Calcium injection. NIL
Oxytocin hormone. NIL
Dexa. 72hrs

baada ya hiyo withdrawal period kuisha nyama, maziwa inakuwa fit for human consumption.

Hayo ni baadhi ya madawa na WDP zake
Na hakuna vet ataekubali mnyama aliechinjwa akiwa kwenye dose na withdrawal period haijaisha apelekwe buchani never huwa anai_ condemn either ichimbiwe au ichomwe moto into ash.
Ng'ombe wakifika nitakutafuta mkuu
 
Tutaendelea kupoteza nguvu kazi kwa kuendekeza tamaduni za kisasa ambazo zina athari kuubwa kwa walaji
Safi sana kwa hilo. Mkuu unadai Tamaduni za kisasa za kudunga sindano?
Nyama ya zamani ilikuwa asilia, ng'ombe walitibiwa kiasili na sio kwa masindano yenye madawa makali.
Kwamba tamaduni za zamani zilikuwa ni bora
Supu ya zamani ukinywa unaboresha afya yako
na athari zake chanya.
 
Back
Top Bottom