Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 1,201
- 2,705
Zikiamuaga huwa zina balaaHiyo ni kweli Mkuu?
Mbona hatari sasa 🙌
Kipindi kile marbug imegundulika Biharamulo (Kagera) serikali ilileta stori za mtu mmoja kafariki wakati watu kibao tu.
Mojawapo ni familia nzima ya watu waliobeba mzoga wa swala wakala pamoja na majirani zao kadhaa walioshiriki meza ile haramu. Marbug iliua familia nzima, majirani hao, hadi mchungaji aliyekuja kuwaombea walipokuwa hoi akidhani wamerogwa.