Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Sasa sukari na uwepo wa mke unahusiana vipi?
Kwanini kwenye uzee wa mwanaume mnaweka picha mbaya za ugonjwa, vifo, umaskini?.
Nimeshuhudia wazee watatu tofauti Wana maisha mazuri kuliko wale walio oa.
 
Mkuu hapa duniani hakuna kitu kibaya kama upweke ndio mana mungu hakuwa bwege kumpa Adam mwenza wake ambae ni Eva so uyo mwenye nyumba wako subili maradhi yaanze kumsumbua ndio tutajua hizo pesa zake zitamsaidia au lah
Mkuu Hawa wanawake wasio olewa upweke kwao hauwasumbui?
Ebu ni ELIMU kidogo.
 
Mleta mada wasitkutishe. Watu wameoa still wanatukanwa na wake zao eti "Wee msenge nini"

Yaani mke wako anakutukana wewe ni msenge!!!

Waliooa Wana mazito sana vifuani mwao. Hawana amani ya nafsi πŸ˜‚
Na hawawezi kusema,
Kuna watu wanafikiria,mke ni mtakatifu.kwamba kila kitu ni heri.
Aliposema ishi na mwanamke Kwa AKili, hakukosea
 
Nakazia. Na kama ukiamua kuoa OA WA wawili au watatu!
 
Hivyo unaoa kwa sbb ya heshima?
Au Kwa sbb uzeeni utapata Shida?
Sasa hivi jamii inakuheahimu kama una kipato tu, sio Kwa sbb una mke Wala mume.
Zama hizi kila mtu APIGANE vita vyake
 
Good
 
Ni watanzania wangapi ikitangazwa wenye hela wasimame watasimama bwana? Wengi wetu ni waganga njaa tu hatuna pesa za kusimama na kujionyesha. Ndio nikasema, kama umeoa mwanamke mwenye matusi mda wotw analeaje hao watoto wenu?

Ndio nilikuwa nawaambia wangapi huzeeka hata na milioni 50 au mia wanajimuambafai eti pesa zao zitawasaia na nurse care
 
Ndio nilikuwa nawaambia wangapi huzeeka hata na milioni 50 au mia wanajimuambafai eti pesa zao zitawasaia na nurse care
Wengi wetu tunaganga njaa maisha yaende, ukifanikiwa sana umejenga kajumba na kagari hapo ndio utasikia anasema "tafuta pesa mkuu", utafikiri yeye anamiliki yatch au ana mijumba kadhaa!!

Ndoa na iheshimiwe na watu wote, ndoa imara huleta jamii yenye maadili.
 
Waambie hao wanadhan kama wazee wa kizungu huwa wana pesa wametunza za uzeen lakin sisi utajiri ni familia na hizo pesa ndogo ndogo za kula,eti wanasema mwanamke anakuja kuchukua mali mali zipi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kujilinda na UTI
Kupata utulivu wa maisha


Hizo [emoji3516][emoji3516]hoja ndio zinakufanya uoe
 
Mnavyozungumza utafikiri wazee wote huwa wana akiba uzeen
Hao mbona nimesema hapo kwamba walifanya kosa la kiufundi. Usifanye masikhara pesa kwa mwanaume ni kila kitu. Utatekeleza vipi majukumu yako ya msingi kama kiongozi wa familia bila pesa?

Tena ukiwa mzee pesa ndio muhimu zaidi. Mwanaume haupaswi kuweka rehani kwa watoto wako siku zote hakikisha unapoihudumia familia una-backup financial plan incase mke wako akihamia kwa watoto wake uzeeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…