Ndio maana ili kuleta heshima unashauriwa uoe mda ukifika. Ukiishi kibachela watu wana namna yao wanakuchukulia tofauti.Yap
mtu ukiwa hujaoa unaonekana kama vile wewe ni mtu wa kulala na wanawake tofauti kila siku kama vile huna kazi nyingine za kufanya
Yap mda ukifika ni sawa ila sio kwa ratiba na misukumo ya watu na pia sio kwa mategemeo ya kupata makubwa kutoka kwa mwenzanguNdio maana ili kuleta heshima unashauriwa uoe mda ukifika. Ukiishi kibachela watu wana namna yao wanakuchukulia tofauti.
Watawezaje kuzeeka na Bima kubwa wakati pesa zote wanazitumia kugaramia familia yake na ya mkewe? Kwa sie ambao hatuna mpango wa kuoa hatutakua na garama zA kulea familia ya mke na nduguze!!!!Wazee wangapi wanazeeka na bima za maana au hata milion 500 wangapi ukiangalia viongozi wafanya biashara wakubwa
Babako ndo ataolewa sio mmWashamba na wanaume wasiojiamini tena ambao pesa hamna kama wewe ndo mnaktaa ndoa.
Ngoja utakuja kuolewa.
Hyo figure ipo hapo ili kupresent "kiasi cha kutosha cha pesa" doesnt necessarily mean 8 billions as numbers!Here you are not being realistic, watz wangapi unaowafahamu kwenye cycle yako waliooa na wasiooa wenye utajiri wa billion 5 tu achana na hizo 8 ulizosema
600k au sioWakiitwa ni vijana wa hovyo wanalia wanadharauliwa ila hawajui kitu kinawahukumu ni hoja zao mfu!!!
Umemuuliza swali la msingi sana,huyo unakuta ameajiriwa anasubiri mshahara mwisho wa mwezi take home 600K ila yupo JF anazungumzia habari za B kadhaa!!!
Kumbe ukioa ndo unaepuka dhambi duuuh pole kwa kua una akili mgando sana. Hawa waume na wake za watu tunaopishana nao kila sku kwny corridor Za guest houses kumbe wanakuaga wametoka kuepuka dhambiUnaweza sema wanakuelewa kumbe wanakuchuuza. Unafki ni mwingi sana kuliko uhalisia. Mbali na hoja nyingi za maana zilizotolewa kuhusu umuhimu wa kuoa pia kwa mtu mwenye Imani kwa Mungu lazima atafikiria kuoa kuepuka dhambi zisizo na lazima.
Ulipotea sana humu jukwaan mzee ,,, vp kwema?Tuletee pointi za msingi za kwa nini tukubali kuoa sio vifungu vya biblia
Tulikwambia ni wote tunaamini uwepo wa Mungu huku ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
"sababu bila wao maisha yangu siyafurahii."Kutengeneza familia yenye maadili,mwanaume kama baba kuwatengeneza watoto wake jinsi anavyotaka,hakuna malezi ya simu sijui video call muone mtoto wa MR II yule alizaa na Faiza unadhani akiwa aged 20 atakuwaje yule?kuishi kistaarabu ktk jamii ya wastaarabu (haiyumkiniki kila siku mwanaume aonekane ana mwanamke mpya huo siyo ustaarabu wa binadamu).
Kujilinda na maradhi mbalimbali hatari HIV,UTI na siku hizi nasikia ipo UTI sugu,kutunza kipato maana kila mwanamke ana gharama zake,kupata utulivu wa maisha na akili ya mwanaume kupanuka zaidi pindi akiwa na majukumu,sababu ni nyingi usichukulie ndoa kama vita mimi hapa mke wangu na familia wamesafiri nyumba naiona kubwa yote ni kwa sababu bila wao maisha yangu siyafurahii.
1.Alokwambia ubachela mpaka ufikishe miaka 40 ni nan?? Tafafhali weka reference zako hapa.....Huyu hakusema umri wake ila obviously ni chini ya 30s sasa hakuna bachela wa umri huo verified bachela ni kuanzia 40 na kibaya zaidi wanadanganyana wote watoto humu hajatokea bado aliyeonja maisha hayo akasema kitu.
Wasome katikati ya mistari utagundua they don't know nothing about life,mifano yao wanaitoa kwa Elon musk,Christiano Ronaldo na daiomond unaweza kuona jinsi walivyo weupe,waulize baba zao na mama zao wapo pamoja watakwambia ndiyo sasa hoja zao ziko wapi?
Kati ya vtu vzuri maishan mwangu ni "kuifahamu jamii forum" mapema. Kwa kweli imenishep sana kiakili.Nilichelewa kuwa na mawazo haya katika ujana wangu ila nshaapa mke wangu akijichangaya tukaachana sitaoa tena! Siwezi kumuacha kwasababu za kawaida sababu watoto wanatuunganisha ila akizua imekula kwake asee
Usinambie siku nikikua,,,, jibu hoja kwa hoja mzee acha kuntishia tishia... Btw huenda ww ndo una utoto kichwan mwako mana cjaona popote ulipojibu kwa hoja zaidi ya kuandika majbu pet petsiku ukikua utajua nilimaanisha nini. bado utoto umekutawala kichwani
Well said!Kati ya vtu vzuri maishan mwangu ni "kuifahamu jamii forum" mapema. Kwa kweli imenishep sana kiakili.
Ukiwa huna hela huyo wa damu yako wakati anaku take care atakua anakula mawe????pesa inasolve payment...taking care is another issue. Na hata ukiajiri mtu wa kukutake care, hawezi kuwa kama wa damu yako
Bora mniite mchoyo ila siwez kujiingiza kwny scam ya kugawana mali nusu kwa nusu na mtu ambaye hakuchangia chochote zaid ya mbususu.Mmejawa ubinafsi tu hamna lolote na uchoyo umewajaa
"hizo biashara atasimamia nani?"Aliyekwambia hela ni matako kila mzee atakuwa nazo ni nani?na unaweza ukawa na hela lkn ukawa na mgonjwa ya utu uzima hizo biashara atasimamia nani?