Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kikubwa ni kuwa na watoto, huwezi kuwa mwanaume mwenye akili timamu kisha tumaini lako la uzeeni ukaliweka kwa mwanamke.wrong thinking. pesa ni ya maana ujanani tu ukiwa na nguvu za kuitumia. .ukishazeeka pesa is nothing. relationship ndiyo kila kitu hasa with your immediate family members-mke na watoto. waulize wenye pesa na hawana relationship nzuri na wanafamilia wao, watakwambia huzuni waliyonayo
Hautakuwa mpweke uzeeni ikiwa uliwekeza vizuri.