The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Haya ndiyo umejipeleka pale sijui na Uber au na driver wako upo kwenye foleni kusubiri vipimo ujisikie kwenda haja kubwa niambie hapa huyo medical attendant umeingia nae makubaliano saa ngapi akusafishe mavi?Unahisi angekosekana ingekuwaje?.asingefanyiwa MRI?
Hospitali kuna Medical attendants kazi hiyo wangeifanya fresh tu..kuvuliwanguo nayo ni ishu kubwa kweli??.
Nasisitiza ni utoto tu ninyi actions za maisha hamjazijua na nijibu ni wangapi ktk nyie mnaweza kumlipa mtu 500K awafanyie huduma zenu za msingi?Kapuku wa Tanzania wanaiga maisha ya Elon Musk bilionea wa dunia wakati kula yao kwa siku inawapiga chenga,kueni kwanza acheni utoto.