Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

None, after a certain age no one should be single.

Civilization is sustained through families and not miserable individuals.
wengine wanakataliwa na wanawake almost wote wataoaje, wengine wanaleta hizi Uzi kwa sababu ya kukataliwa na kila mwanamke ni matokeo ya kua dissopoint na hili ndo kundi kubwa mda mwingine maisha hayakupi unachotaka, kiasili hakuna mtu ambaye hapendi ndoa Ila circumstances za maisha ndo sababu

Mim nilitaman sana kuwa na mke Ila ndo hivyo imeshindikana maisha bila ndoa yanawezekana na ni mazuri
 
John Cena alishaoa nick bella waliachana kwa vile hataki mtoto yaani John Cena hataki mtoto.
it's all about money mzee, iyo sijui unaumwa anakusaidia, blah blah ni za kina pangu pakavu

anayejielewa haoi kutegema auguzwe pindi akiumwa, wangapi wanatoroka waume zao hali ikiwa mbaya ? wangapi wanakumalizia kabisa ufe ili apate kurithi mali ? unadhani mkeo ni nduguyo ?

akili kumkichwa
 
Wajukuu na msichana wa kazi unaweza kuwa nao hata usipoowa. Kuhusu kuwa na uwezo wa kupika na kazi zingine nadhani kama bibi anaweza basi Babu nae anaweza vinginevyo ni mtazamo tu
Ndio hao huzurura hovyoo
 
mkuu, juzi nimekumbana na mzee mmoja, hana msaada analialia kama mtoto, nilipouliza mama/mzee mwenzake au watoto wake wako wapi, nikaambiwa jamaa alikuwa bitozi enzi zake hakutaka kuoa. sasa hivi uzee umemshukia, sukari imemkaba, macho hayaoni vizuri, majuto aliyo nayo anatamani arudishwe ujana arekebishe alipokosea
Ukiachana na hilo ulilosema hapa, japo sikumuona nina uhakika kuwa huyo mzee ni masikini.

Mtu mwenye uhuru wa kiuchumi huwa hateseki kabisa uzeeni na hawezi kukosa watu wakumzunguka, na hawezi kuwa mpweke kwa namna yoyote ile.
 
Back
Top Bottom