Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Kuna mzee huyo anang’ang’ania kuishi kwetu ashazeeka ,nikamuambia mama yangu ashazeeka hawez kukuhudumia kakae kwa watoto ni kama anajifanya hanisikii anasema akija kwa mama anahudumiwa vizuri eti
Ebo ulikuwa wapi kutengeneza mazingira toka zamani uhudumiwe vizuru
Dejane umetisha mnoo kwa hii thread. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Dejane umetisha mnoo kwa hii thread. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ni vitu tunaviona kabisa vipo sio vya kusimuliwa,kuna mzee hapo Mwanza hoteli anavizia analala kwenye kwenye sofa za mwanza hotel siku akiona Gachumo kasafiri hayupo, hana pá kukaa nae ni bachelor wanataka kutuambia nin hawa na Ana watoto ila wamelelewa na mama yao hawana habari nae kabisa,wengi tu na huyo anaezurura,wanaokula raha ni walotengeneza familia zao vizuri,watu baki hawawezi kukujal kama watoto wako au mkeo
 
Kuna umri ukifika kua na mke ni muhimu, na kuna umri kua na mke ni scam lakini ndio maandalizi ya huo umri ambao ndoa itahitajika sana.

Tuoe tu.

Ndio maana na unaweza oa mke wa kwanza msibahatike kudumu na ukaoa wa pili au wa tatu na mkaishi mpaka kuzeeka
 
Mkuu nimesoma Maoni yako kwa kiasi kikubwa nimegundua uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo sana. Jaribu Kujiboresha. Msome sana Saint. Augustin.
Niwekee hapa angalao quotes zake mbili tatu anazozungumzia umuhimu wa mwanaume kutokuowa nitoe maoni yangu na mimi na naweza hata nikabishana nazo coz najua kwa Tanzania hakuna mtu ataweza kuzi-apply kwa sababu mazingira siyo rafiki..

Well,naweza kuwa na uwezo mdogo wa ku-reason ila at least I know my next step,ebu kwanza unaweza kuniambia hapa ni tajiri gani Tanzania hana mke?huyo Bahakresa mwenyewe na uzee wake anatamani dini ingeruhusu aengeze wa tano wewe huna kitu unalia sitaki kuowa!kwamba unawajua zaidi wanawake au?
 
Mnafurahisha 😂😂😂

Okei unahela yes, una watoto yes hujaoa hatujakataaa and of course kila mtoto na mama yake

Hivi wewe unaleta picha gani kwa wanao? yaani hata watoto wanakuhesabia wewe muhuni tu utawaambia nini 😂😂

Wewe kila mwezi unabadilisha wanawake tu nani atakuheshimu?

Ndoa inaheshimisha acheni kuiga wazungu

Oeni mpate kuheshimiwa na jamii zenu, kutokukuoa na unajigamba u got money unahesabika ka muhuni tu and top cursed.
 
Hofu yako ni watu kukuona muhuni, hivi heshima inafaida gani kama huna ela, katika vitu ambavyo sivitaki ni heshima hizi za kiafrika
 
Wewe na wewe mbona una-act utoto?

Zipo situation ktk maisha humkuta mtu siyo lazima uzeeke,assume upo above 30s umepata ajali mbaya inakulazimu uwepo wa mtu kukusaidia mpaka wakati wa haja za msingi za mwili wako unategemea mama yako akupeleke chooni au kaka yako au mdogo wako?

NB:Ninyi mnaojifanya hamjui au mnajua mnakuwa viburi kujifanya hamjui tembeleeni hospital kubwa hasa zile sehemu za maabara muuone umuhimu wa mwanaume mtu mzima kuwa na mke,unakuta mtu ameletwa kwa vipimo (hii niliiona juzi sept pale MNH tena bwana mdogo tu) alitakiwa kuvua nguo aingizwe kwenye MRI machine ikatangazwa msaidizi wake aende akaenda mkewe mnategemea ktk hali kama hii mama zenu wakawavue nguo?

 Nonse nse kabisa.
Pia mimi nina mfano

Kulikuwa na mgonjwa X kwenye hospital X hapa Tanzania, alikuwa ana 26yrs ameoa na anawatoto wawili.

Baada ya kuumwa sana, mke akawa anamuuliza kuwa nguvu za kiume anazo tena. Maana tatizo lake alihisi litakuwa limeathiri nguvu za kiume lakini si kweli.

Kilichofuata mke ni kumkimbia mume. Yule jamaa aliteseka sana , mwisho alifariki lakini kifo chake hakikutokana na ule ugonjwa alioupata bali ni hizo stress zilizotokana na mke wake.
 
Ni vitu tunaviona kabisa vipo sio vya kusimuliwa,kuna mzee hapo Mwanza hoteli anavizia analala kwenye kwenye sofa za mwanza hotel siku akiona Gachumo kasafiri hayupo, hana pá kukaa nae ni bachelor wanataka kutuambia nin hawa na Ana watoto ila wamelelewa na mama yao hawana habari nae kabisa,wengi tu na huyo anaezurura,wanaokula raha ni walotengeneza familia zao vizuri,watu baki hawawezi kukujal kama watoto wako au mkeo
Kweli mtu mjinga tu atashindwa kukuelewa

Tatizo watu wanafanya maamuzi bila kuangalia mbeleni, the future
 
Afya njema ndo itakayokupa uzee mwema
Na hakuna afya njema bila kuwepo pesa walau kidogo ya kutibishia maradhi ambayo kimsingi ni lazima uyapate kama binadamu.

Ikiwa hata dawa za maralia itakuwa ni mpaka upige simu kuomba mchango kwa ndugu, ni lazima upotee.

MUNGU & PESA,

PESA PESA PESA, hakuna namna utaikwepa.
 
Pia mimi nina mfano

Kulikuwa na mgonjwa X kwenye hospital X hapa Tanzania, alikuwa ana 26yrs ameoa na anawatoto wawili.

Baada ya kuumwa sana, mke akawa anamuuliza kuwa nguvu za kiume anazo tena. Maana tatizo lake alihisi litakuwa limeathiri nguvu za kiume lakini si kweli.

Kilichofuata mke ni kumkimbia mume. Yule jamaa aliteseka sana , mwisho alifariki lakini kifo chake hakikutokana na ule ugonjwa alioupata bali ni hizo stress zilizotokana na mke wake.
Hii ni sample ndogo sana kuweza ku-justfy issue ya ”umuhimu wa mwanaume kuowa au kutokuowa”.

Kuowa ni kama kutafuta kazi,utapata kazi ina mapungufu kadhaa mwengine anapata kazi inampenda kila siku anapanda vyeo so ni bahati ,siyo sababu kazi siyo nzuri tuseme tusifanye inabidi tu-face realty huo ndiyo uanaume hata baba yako kuishi na mama yako alitumia mbinu hizi hizi.
 
Kwani huo mfano wako ulioutoa ndio unaonesha umuhimu wa ndoa ?
 
Back
Top Bottom