Wale ambao hatuna Mpango wa kuoa tuendelee kupeana Mbinu za Maisha

Kikubwa ni kuwa na watoto, huwezi kuwa mwanaume mwenye akili timamu kisha tumaini lako la uzeeni ukaliweka kwa mwanamke.

Hautakuwa mpweke uzeeni ikiwa uliwekeza vizuri.
 
Kama utajaribu kufikiria kwa makini zaidi, utagundua kuwa:-

Kinachomsumbua huyo sio uzee ni kukosa fedha.
 
Wewe ni Zwazwa, Kuna tofauti ya baba na Mume. acha kubeba mavi kichwani.
Utoto tu unakusumbua!!!

Kwa namna ulivyoi-punch hiyo hoja ya jamaa bila shaka wewe ni bendera fuata upepo hujui maisha yapoje na yanataka nini kadiri umri wako unavyosogea so kwanza epuka kubeba beba maoni ya watu mitandaoni wengine ni failures wameharibikiwa wanatafuta kundi la kuteseka nalo.
 
 
Hahaha kama hizi ndio sababu za msingi za kuoa basi mleta mada yupo sahihi, yani unaoa ili upate wa kukuchambisha uzeeni?

Muhimu ni kupata watoto wa kuendeleza kizazi chako, kisha miliki pesa uone kama utapa shida.
Wewe na wewe mbona una-act utoto?

Zipo situation ktk maisha humkuta mtu siyo lazima uzeeke,assume upo above 30s umepata ajali mbaya inakulazimu uwepo wa mtu kukusaidia mpaka wakati wa haja za msingi za mwili wako unategemea mama yako akupeleke chooni au kaka yako au mdogo wako?

NB:Ninyi mnaojifanya hamjui au mnajua mnakuwa viburi kujifanya hamjui tembeleeni hospital kubwa hasa zile sehemu za maabara muuone umuhimu wa mwanaume mtu mzima kuwa na mke,unakuta mtu ameletwa kwa vipimo (hii niliiona juzi sept pale MNH tena bwana mdogo tu) alitakiwa kuvua nguo aingizwe kwenye MRI machine ikatangazwa msaidizi wake aende akaenda mkewe mnategemea ktk hali kama hii mama zenu wakawavue nguo?

 Nonse nse kabisa.
 
Unahisi angekosekana ingekuwaje?.asingefanyiwa MRI?

Hospitali kuna Medical attendants kazi hiyo wangeifanya fresh tu..kuvuliwa nguo nayo ni ishu kubwa kweli??.
 
Watu wanasema mtu asipooa akiugua ataona cha moto..yes kama mtu huyo ni hoehae.

Mtu mwenye hela utapata nursing service yoyote unayoihitaji.
Sawa utapata kila unachokitaka!!!

Uliza hao wanaokataa kuowa Tanzania hii ni wangapi wana uwezo wa kupata hiyo home nusring care?toa hizo bima za afya wanazolipishwa kwa nguvu na serikali zao kununua panadol hawawezi maana kile walicho nacho mfukoni hakiwatoshi iwe kujitengenezea mazingira ya kuja kufutwa mavi uzeeni!!!wewe ulisikia wapi!

Na unakuta kwanza kwenye koo zao hao ndiyo maskini wa mwisho wanataka waje kulaumu watu kwamba walitengwa wakati wa shida zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…