Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Anazilinda hizo gari na pesa, hana? Upo serious?
 
Hongera kufanikiwa.

Hata wengi wetu mama zetu walianza kutupata hapo 23/24/25 ila ukijiangalia we hapo ushavuka hapo na hamna dalili 🤣

Cc mawardat
 
 
 
Kwanza jitambue wewe ni nani, kwa maana ya kuwa what is your definition of achievement halafu hela inafuata.

Kwenye maisha chochote utakachoamua kukifanya with passion ukakitilia mkazo kukielewa kwanza. kukubali kujifunza makosa yako kutoka na mbinu za wengine waliofanikiwa eventually you’ll make it.

Whatever you do make it a passion and when the achievement comes it’s satisfying to you only and not to another person, na kila mtu ana definition yake ya achievement.

Chukulia huu mfano

1. Kuna hizi challenge za ‘millennium maths prize’ ambazo zawadi yake ni $1 million dollar. Zipo problems saba katika hizo moja tayari ina solution (Poincaré Conjecture) jamaa aliejibu; definition yake ya success kwa umri wake ilikuwa ni ku solve hiyo problem tu na anaishi na mama yake mtu mzima kwenye flat huko Russia.

Zawadi ya ku solve one equation hiyo $1 milllion jamaa akaikataa. Sasa wewe unaweza shangaa why?jibu lake alipoulizwa lilikuwa hivi mtu ambae naweza jibu moja ya maswali magumu ya hesabu duniani naweza shindwa kweli kutengeneza dollar million kadhaa nikiamua kwa ku trade on the stock market au kwa kufanya biashara.

Sio hivyo tu alikuwa na job offers za Stanford university na other big institutions US ambazo zilikuwa tayari kumlipa mshahara kama huo wa million moja just to teach part time and do maths na aka kataa.

Somo hapo pursue what makes you happy ata ukipata hela una enjoy whilst doing your hobby, forget about what the next person is doing.
 
Mm ni graduate mzuri tu lkn natamani Nika bet tu
 
Jomba lete mifano yenye uhalisia kwa maisha yetu.
 
Jomba lete mifano yenye uhalisia kwa maisha yetu.
Huyo jamaa ni binadamu kama wewe, biology yenu ni sawa.

Tofauti ya huyo jamaa na wewe au mimi kwenye uhalisia ni namna tunavyotazama maisha tu.

Definition yako ya mafanikio sio ya kila mtu, umeshaambiwa hilo na wachangiaji wengine kwenye hii mada.

Swala linabaki what caused failure in your goals, kutokana na maelezo yako na takwimu za biashara duniani on average kwenye biashara mia mpya 100 zilizoanzishwa mwaka mmoja. Baad ya miaka 5 Katika hizo biashara zina baki kama 70 na baada ya miaka kumi zina baki 30 na katika hizo kama tano zinakuwa kutoka small businesses kuelekea biashara za kati after 10 to 15 years toka kuanzishwa kwake.

☝️Trend is real fact though somewhat fictional in actual numbers it’s been a long time since I learned that shyt na sina muda wa google to be specific. Either way sababu kubwa ya failure za kibiashara miaka ya mwanzo inatajwa kuwa ni poor market research and poor business management inayosababisha failure.

Sasa check yourself unakosea wapi au unataka nini kwenye maisha. set realistic goals and go about rightfully in attaining those goals. What the next person achieves is not you problem.
 
Kweli binadamu! Upo 33 na una mtoto form one. Wewe Nadhani umshukuru mungu. Nilioa nikiwa 30 na sasa kijana wangu anataraji kuoa mwaka huu na mnalingana. Huoni wewe upo mbali sana
 
Yani Kuna watu humu hata hela ya bando baada ya hili kuisha tutaitolea wapi mungu ndo anajua walahi 😢. Ila waajiriwa na wazaz muwalee watoto katika mazingira yanayokuza uelewa zaidi. Msitoe mabroila mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…