Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Mimi ni WA 91
 
Wengi humu ni watu wa kawaida kabisa, bado tunapigana Vita ngumu, na tutashinda. Tusikate tamaa, tujitambue tunamaadui wengi wasiotaka tupige hata hatua moja!, na hawa ndio shida kwetu, maana wapo sirini wala huwezi wadhania tena wakati mwingine hutupa misaada.
 
Uzi huu kila mtu atakuwa na nyumba nzuri na gari na familia ila ndoto yake itakuwa kitu kingine ili kujikweza tu.
Mijitu mingi miongo miongo [emoji23][emoji1787]
Mkuu nadhani hujaelewa hapa, mtu unaweza ukawa na nyumba, gari ila drwam yako bado hujafika kabisa, na hela wala huioni, ila mtaani wanakuona una maisha mazuri..hapa nadhani hujapata point

Kuna jamaa alikuwa anatoa ushuhuda alikuwa na nyumba nzuri kabisa kama y milion 100.… ila shida alikuwa mfanyakazi alipata mkopo wa ujenzi, shida ilipokuja..baada ya kumaliza ujenzi akwa na best house mtaani...but hela ilikata mazima kiasi kwamba hata hela yake y kula ilikuwa shida...ilifika stage anakosa nauli y kwenda job kwake..na akawa anaona hata aibu kwenda kopa kwa mangi kulingana na statua yake mtaani

Hivyo unaweza kuona scenario hio
 
Hii mada ni nzuri sana.Kwa upande wangu naona ni vyema sana kumshukuru Mungu kwa vile alivyokujalia na kutokujilinganisha na jirani yako.Muda mwingine unaweza dhani jirani yako unayemuona maybe anamiliki v8,range na mengineyo ana maisha mazuri lkn ukute anajitibu kansa,Figo inamsumbua au gonjwa ambalo hata uambiwe mbadilishane maisha hutaweza kustahimili anachopitia.Tunamkosea Mungu mara nyingi maana fikiria unasema mbn jirani yupo vizuri kumbe jirani yako ana share yake ya matatizo kwenye hii dunia.Wengine hujui utajiri wameutoa wapi maybe waliiba,kutoa kafara,kulala na mama au watoto zao.Wapendwa kuna mengi sana tusiyoyajua kwenye hii dunia ni vyema sana kumshukuru Mungu alichokujali maana mara nyingi hatujui lolote kuhusu tunalolitamani
 
Mwanitamuss
 
Miaka 33 umezeeka?! Hujioni kuwa unaweza kufika 63?
 
💪💪
 

Na hapa wengi ndio wanashindwa mimi nishalizika na hali yangu some of dream zikiwa archived nitafurahi zile ambazo naziona aziwezi timia basi naacha


Nakumbuka kuna siku nilikuwa peke yangu ndani nikawa nawaza sana kuhusu maisha na ndoto zangu nikiangalia njia naona ngumu sana nikaishia kulia basi nikasema ngoja nipambane napo paweza
 
Watu kama nyie ndo mnatutia stress zaidi
 
Miaka 33 umezeeka?! Hujioni kuwa unaweza kufika 63?
Kuna baadhi ya vitu umri huo kuanza kuvifanya ni rahis sana kukata tamaa japo unaweza uka achieve..
 
ukishindwa kumudu hela ya kutumia kwa maitaji ya lazima usitegemee kuwa tajiri
 
Yani Kuna watu humu hata hela ya bando baada ya hili kuisha tutaitolea wapi mungu ndo anajua walahi 😢. Ila waajiriwa na wazaz muwalee watoto katika mazingira yanayokuza uelewa zaidi. Msitoe mabroila mkuu
Mkuu hapo ni parefu kwa sisi watu wa kawaida ila kwa mwingine hiyo 10M ni kodi ya frame ya miezi mi 3 tuuuu pale kariakoo na analipa ya mwaka mzima.

Kingine mkuu nilichojifunza kwenye maisha ni kwamba vile unavyokua tayar kuzivagaa changamoto za maisha basi na Mungu anakutengenezea njia japo sio kirahis ila hutashindwa kabisaa..Mungu anatuonea huruma sanaaaa kuliko tunavyojiofikiria sisi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…