Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

Asante sana
 
Me I'm turning 28 kitu pekee nachomilikini hizi dreads zangu nilizofuga kwa miaka kadhaa.

Nikizikata nikauza kwa urefu wake napata laki 7.

Nikimuomba mzee aniongeze laki tatu nipate milioni naenda kulima matikiti.

Nitapanda
mbegu za matikiti ambapo kwa heka moja nitapata miche 444.

Nikichukua miche 444 mara 5 kwakuwa kila mche utatoa matikiti hadi matano napata matikiti angalau 2000 kwa heka moja!

Nikiuza tikiti moja 2000 kwa matikiti 2000 napata 4000000 ndani ya miezi mitatu tu, imagine heka mbili!

Shamba nitapata la kukodi kwa laki moja tu huko Kibaha.

Mbegu nitanunua kwa bei nafuu hata laki haifiki.

Nitaajiri kibarua mmoja asafishe shamba na kupanda mbegu kwa 2000 tu kwa siku.

Pesa inayobaki nakodi mashine ya kumwagilia,

dawa ya kuulia wadudu hata elfu 20 haifiki,

pesa ya mtu wa kuangalia shamba,

Na kibarua wa kuvuna.

Haya nikilima misimu miwili tu najikuta nina 8M ndani ya miezi sita!


Yajayo yanafurahisha ngoja niende saluni!
 
Nimecheka sana πŸ˜„
 
Jambo la msingi sana hili.
 
33 unajiona umezeeka mimi na sitini nakaa kwa baba yangu 😁
 
Mkuu usikate tamaa mi kazi yangu ya kwanza nilipata 2019 nikiwa na miaka 30 baada ya kusota miaka 4 bila kazi toka nimalize chuo na ilikuwa na mshahara mzuri tu haya 2021 mkataba ukaisha sikuongezewa mkataba , nikarudi mtaani kumbuka hapo nishaanza maisha yangu ya kujitegemea maisha yalinipiga nikauza baadhi ya vitu vyangu vya ndani, na niko mkoa wa mbali na nyumbani nikawa bodaboda mara dereva bajaji unadandia za washkaji unapiga deiwaka nawe upate pesa ya kula bahati nzuri mwaka jana mwishoni ndo nikapata ajira serikalini ni kama nilianzaa upya mana niliuza kila kitu naweka malengo yangu upya sina mke wala mtoto na hainipi stress cha msingi nina afya njema
 
Kweli ni kupambana mkuu.ulipiga coz gan?
 
Shukuru Mungu unamiliki hizo dread wengine hawana
 
Usikate tamaa.
 
Yaani mwanangu kama tayari una exposure kuona watu wanavyopambana sehemu mbalimbali unaweza changanyikiwa. Halafu siku hizi kuwa watoto wa under 25 hapahapa Afrika wanakimbiza hatari.
Wananitia pressure japo mi nipo under 30 πŸ˜…πŸ˜… wanakimbiza na tech wengi wao........
 
Amen umeongea vyema.
 
Uzi huu kila mtu atakuwa na nyumba nzuri na gari na familia ila ndoto yake itakuwa kitu kingine ili kujikweza tu.
Mijitu mingi miongo miongo πŸ˜‚πŸ€£
Watu wanamaisha kweli japo waongo wapo πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…