Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja.

Je, Polisi watachukua hatua yoyote?

Pia soma:
- Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa

- Kada wa CHADEMA achinjwa akisherehekea ushindi

- Arusha: Mgombea wa CHADEMA Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa na kuchomwa visu na green guard aitwaye Idd Mkulu

 
Salaam Wakuu,

Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja...
Nani kajitaja, nidokezee
 
CCM hawawezi kukanusha habari za kweli wanazojivunia nazo.
Utaratibu wa CCM kukamata, kutesa na kuchinja wapinzani hapo awali ulikuwa wa siri siri, tangu kuingia Magufuli iligeuzwa na kuwa utaratibu rasmi wa CCM.
 
ipo siku watatajina tu ... nani ni nani na alifanya nini, lini na wapi?
unawatangazia watu kwamba kuna ugaidi huko TUNDURU bila kuthibitisha popote, ukisahau kwamba juzi wana ccm walifanya uchaguzi ngazi ya wilaya Tunduru ikiwemo?
linakuja taahira humu na kuileta hiyo kama habari likijua kwamba sisi hatujui?
 
Back
Top Bottom