Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

Ccm hali mbaya, kampeni hata hazieleweki huyu anaomba kura kwasababu alikua anongoza kikosi cha chinja chinja kule dodoma mwingine anaomba kura kwasababu ana nguvu za kiume.... tunaendelea kula mtori
 
Mungu ataamua ugomvi, ChinjaChinja sasa wanaingia kwenye uongozi na nafasi mbalimbali.
Haijulikani inawezekana wanachinjana wenyewe huko CCM.

Hivi hakuna mahakama nje ya Tanzania inaweza kusikiliza matatizo ya watanzania tukapata katiba mpya? Haya machizi yanatufundishia watoto na vijana wetu ugaidi.

Unalea mtoto kwa shida wenzake ambao hawajui shida wanakusaidia kuchinja. Halafu inaonyesha huyu Jamaa ni mchinjaji kweli. Arusha ile kitu siku hizi haipatikani au? Kwa Nini msimtafute mkampa ladha ya hayo maneno?
 
Ila hawa ccm na mambo waliyofanya ni hatari sana kwani yamejaa ukatili, uonevu, ujinga hadi umwagaji damu!
Ila watambue kuwa kuna Mungu na kila tone la damu walilomwaga litalipwa kwa tone , mateso waliyowapa wengine yatalipwa kwa mateso hayohayo!
 
Hivi hakuna mahakama nje ya Tanzania inaweza kusikiliza matatizo ya watanzania tukapata katiba mpya? Haya machizi yanatufundishia watoto na vijana wetu ugaidi.
Na machizi haya ndio yamepanda mbegu mbaya za chuki Tz kupitia chama chao kinachojinasibu kimeleta amani!
 
Salaam Wakuu,

Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja.

Je, Polisi watachukua hatua yoyote?

Pia soma:
- Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa

- Kada wa CHADEMA achinjwa akisherehekea ushindi

- Arusha: Mgombea wa CHADEMA Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa na kuchomwa visu na green guard aitwaye Idd Mkulu

View attachment 2376709
Kama walimpa kura wajumbe nao hawajitambuwi watakuwa wameunga mkono mauwaji.Hao wajumbe wanandg vyama vingine kumchaguwa huyo ni kuharalisha ndg zao kufa.Jeshi la polisi likamte huyo kwa hatua za kisheria.
 
Salaam Wakuu,

Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja.

Je, Polisi watachukua hatua yoyote?

Pia soma:
- Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa

- Kada wa CHADEMA achinjwa akisherehekea ushindi

- Arusha: Mgombea wa CHADEMA Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa na kuchomwa visu na green guard aitwaye Idd Mkulu

View attachment 2376709
Polisi bado intelijensia yao ni kwa chadema tu, huyu muuaji anayetamba hadharani haguswi?
 
Back
Top Bottom