figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Sio kweli, watu wamechinjwa sana nchi nzimaChinjachinja?Atoke aeleze ni kumchinja nani na nani?Asibadili maana na kusema ilikuwa ni nahau tu ya kuombea kura.Yasiachwe haya mambo.
Ndiyo abanwe vizuri na aeleze walivyochinja kwa kushirikiana na nani katika hicho kikosi.Sio kweli, watu wamechinjwa sana nchi nzima
Tuone sasa police watafanyaje.Salaam Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja...
Nani kajitaja, nidokezeeSalaam Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja...
Ngoja tuone tofauti ya Wambura na Sirro.Tuone sasa police watafanyaje.
Na hao ndiyo huwapa back-ups!Ndiyo maana wakitoka kazini huishi kama vichaa.Tuone sasa police watafanyaje.
ipo siku watatajina tu ... nani ni nani na alifanya nini, lini na wapi?