Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Haijulikani inawezekana wanachinjana wenyewe huko CCM.Mungu ataamua ugomvi, ChinjaChinja sasa wanaingia kwenye uongozi na nafasi mbalimbali.
Na machizi haya ndio yamepanda mbegu mbaya za chuki Tz kupitia chama chao kinachojinasibu kimeleta amani!Hivi hakuna mahakama nje ya Tanzania inaweza kusikiliza matatizo ya watanzania tukapata katiba mpya? Haya machizi yanatufundishia watoto na vijana wetu ugaidi.
Kama walimpa kura wajumbe nao hawajitambuwi watakuwa wameunga mkono mauwaji.Hao wajumbe wanandg vyama vingine kumchaguwa huyo ni kuharalisha ndg zao kufa.Jeshi la polisi likamte huyo kwa hatua za kisheria.Salaam Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja.
Je, Polisi watachukua hatua yoyote?
Pia soma:
- Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa
- Kada wa CHADEMA achinjwa akisherehekea ushindi
- Arusha: Mgombea wa CHADEMA Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa na kuchomwa visu na green guard aitwaye Idd Mkulu
View attachment 2376709
Polisi bado intelijensia yao ni kwa chadema tu, huyu muuaji anayetamba hadharani haguswi?Salaam Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja.
Je, Polisi watachukua hatua yoyote?
Pia soma:
- Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa
- Kada wa CHADEMA achinjwa akisherehekea ushindi
- Arusha: Mgombea wa CHADEMA Kata ya Kaloleni pamoja na msaidizi wake wamepigwa na kuchomwa visu na green guard aitwaye Idd Mkulu
View attachment 2376709
Watz huwa tunamuachia Mungu, hakuna kitu atafanywa.....makonda, ighondu etcThis N***A is finished
Mwenye details zake ashuke humu kazi ianze