Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Kaka, unawasi wasi una toumbe war?
 
Kikubwa umeoa mwanamke wa namna gani, kama mnaelewana vizuri na mnashirikishana utafurahia maisha, mishahara yenu mnaijumuisha na kuipangia matumizi, ila usisahau kuwa wanawake wanamahitaji makubwa kuliko sisi hehe lazima awe na ziada
 
Full ukakisi tu. Wewe n mimi kabisa
 
Umeongea kwa Hisia sana mkuu Natafuta Ajira Kuna spana hapa zakuja kukusaidia kuelimisha vijana
 
Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha.

Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Oa huyo binti acha kuangalia kazi yake maana hela zao ni zao peke yao, yani mwanaume unatakiwa ujue kabisa hela ya mwanamke ni ya kwake mwenyewe..

Mm ndo maana hata spana za maisha zikinipiga kivipi siwezi ruhusu mke wangu akatoa hela au ajue sina hela ila nachofayaga natoa hata kidogo pale nakofikia yeye atajua aongezee au afanyaje.. pia akiomba hela hatakama najua sina sisemagi sina nakubali ila na mwambia nafanya mpango nitakupa jibu na jibu lenyewe either lije pungufu ajazie au lije limejaa au nisitimize kabisa.

Nb: hela ya mwanamke intumika kwa akili sana ukionyesha unaipigia hesabu ndo unaikosa kabisa au inaleta vurugu.. ukitaka kutumia hela ya mwanamke tumia propaganda atatoa tuu tena kwa moyo mweupe ila ukijifanya mjuaji ndugu yangu utaumia
 
Una mabinti kama ndio kuna kitu kinaitwa Karma...))
 
Maumivu ni yale yale uoe Mtumishi na Usioe Mtumishi hakuna kinacho badilika.
Nafuu ipo kwa mama wa nyumbani, at least atakuwa loyal kwa mume wake, mke mtumishi anawajibika kwa mabwana kadhaa, bosi ofisini ni mume tosha kabisa mwenye mamlaka kuliko mume wa nyumbani, na tena anaogopwa kuliko mume wa nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…