Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Mtoa mada inawezekana hapajui dom, amebeba story za kwenye kahawa, ss tumejenga dom na tunapiga mihela, biashara zinafanyika sanaaaa ndo maana watu wana pesa sana dom ya sasa[emoji1316]
Dodoma nimekaa sana tu
 
Watalii gani waache kwenda serengeti, ngorongoro waende chato
Acha basi unafikiii si nilisikia kuna hifadhi hapoooo au nilisikiaga vbaya mkuuu😂
Kwahiyo huo uwanja saiv umekuwa kama pale jangwani pa mabasi ya mwendo wa harakaa
 
Huenda umedanganywa mkuu! Demand ya nyumba za kupanga bado ipo juu sana Dodoma. Kama unampango wa kuwekeza kwenye hiyo sekta usisite, fanya hima
 
Issue nini hatujui Historia au? Yani maamuzi yakutangaza makao makuu yalikuwa ya mtu mmoja? Keamba wewe tangia unasoma uko primary hukuwai kusikia makao makuu ya nchi yako ni Dodoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha basi unafikiii si nilisikia kuna hifadhi hapoooo au nilisikiaga vbaya mkuuu[emoji23]
Kwahiyo huo uwanja saiv umekuwa kama pale jangwani pa mabasi ya mwendo wa harakaa
Ni makazi ya ndege na popo
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]acheni stress baaasi!mwehu ni ninyi au yeye!!!??mtu amekufa unamuota mwehu ,nyumba zipi hazina soko hapo Dodoma?kuweni basi.

Wenye vyeti feki mnalia sana na magu kwa kua aliwatumbua aliyekufa ,kafa nyie acheni hoja dhaifu za kumponda marehemu,marehemu hana hatia.
 
Wewe una matope kichwani si bure! Unawaza leo huwazi kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…