Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
- Thread starter
- #181
HahahaahJangwani pagumu sana,kuna mwanangu alihama toka iringa mjini kwa mbwembwe, last week ananiambia anataka kurudi kwa Mkwawa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaahJangwani pagumu sana,kuna mwanangu alihama toka iringa mjini kwa mbwembwe, last week ananiambia anataka kurudi kwa Mkwawa tu
Wamekula hasaraNi Wale waliopenda Sifa za kijinga kwa Hayati
SawaNiko Dom hapa...bei ya nyumba ni ghali kuliko Dar
Dodoma nimekaa sana tuMtoa mada inawezekana hapajui dom, amebeba story za kwenye kahawa, ss tumejenga dom na tunapiga mihela, biashara zinafanyika sanaaaa ndo maana watu wana pesa sana dom ya sasa[emoji1316]
Mzunguko wa hela ni mdogoKama hivi nakuelewa ddma itachukua mda kua na mzunguko wa biashara unao eleweka.
Huyo lazima aanzishe mrad wa kufuga nguruweKama una hali mbaya kutokana na kukimbilia kujenga Dodoma jaribu kumfikiria yule aliekimbilia kujenga Chato.
View attachment 2056841
Maskini ni baba yako aliyezaa toto kama wewe ng'ombe
Acha basi unafikiii si nilisikia kuna hifadhi hapoooo au nilisikiaga vbaya mkuuu😂Watalii gani waache kwenda serengeti, ngorongoro waende chato
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Kumbe una upungufu wa akili..mweMoro tatizo waluguru wachawi sana hawashindwi kukupiga juju ukarudi ulipotoka
Huenda umedanganywa mkuu! Demand ya nyumba za kupanga bado ipo juu sana Dodoma. Kama unampango wa kuwekeza kwenye hiyo sekta usisite, fanya himaKipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Issue nini hatujui Historia au? Yani maamuzi yakutangaza makao makuu yalikuwa ya mtu mmoja? Keamba wewe tangia unasoma uko primary hukuwai kusikia makao makuu ya nchi yako ni Dodoma?Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Ila mtu akikusimulia dodoma sasa kwa masifa unaweza kurupuka vibaya😅Mimi dodoma nimeishi napajua vizuri
Ila ukweli ni kwamba dodoma ni kugumu na mzunguko wa hela ni mdogo
Ni makazi ya ndege na popoAcha basi unafikiii si nilisikia kuna hifadhi hapoooo au nilisikiaga vbaya mkuuu[emoji23]
Kwahiyo huo uwanja saiv umekuwa kama pale jangwani pa mabasi ya mwendo wa harakaa
Mkuu huwezi kujaribu mifumo mipya sababu wazungu hawajafanya?Nipe mfano wa nchi moja waliofanya hv na wakawa efficient kwny maamuzi!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]acheni stress baaasi!mwehu ni ninyi au yeye!!!??mtu amekufa unamuota mwehu ,nyumba zipi hazina soko hapo Dodoma?kuweni basi.Ni upuuzi uliopitiliza kuwekeza mji mgumu kama Dodoma...nyumba hazina soko kabisa..wawekezaji aka shoppers plaza wanajuta manake manunuzi ni watumishi wa umma ambao matumizi yao ni ya msimu na wana nguvu ndogo...Bakharesa na Mo wameshindwa kuweka depot za maana Dodoma....maji hakuna,vumbi,mpauko...yule mwehu ametupa mateso sana
Kama mama yakoKumbe una upungufu wa akili..mwe
Mie dodoma sijaenda japo kwa picha tu huwa sipapendi hata kufika sitaki[emoji3][emoji3]
Wewe una matope kichwani si bure! Unawaza leo huwazi kesho!Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.
Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.
Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]
Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Tatizo nyie Manasemea hapo Town tu sehem zingne jeHuenda umedanganywa mkuu! Demand ya nyumba za kupanga bado ipo juu sana Dodoma. Kama unampango wa kuwekeza kwenye hiyo sekta usisite, fanya hima