Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

kabisa singida kuna vibe zaidi dodoma mi naona mavumbi na jangwa tu airport imewekwa sehem kama kariakoo ukishuka kwenye ndege unaenda kupanda bodaboda aisee sijui nani ali plan vile
Zamani ulikuwa mji mdogo, Mambo mengi waliyaweka karibu karibu...ukijumlisha ukuaji wa maendeleo, watu na shughuli...unakuta vitu vinasogeleana, na hii ipo sehemu kubwa ya nchi.

Kuna uwanja utajengwa wa Kimataifa nje kidogo ya mji.

Lkn pia mkuu, hutaki ukitoka uwanjani upande Bodaboda? Kwani unalazimishwa kupanda?

Pia mi naona uwanja umejitenga sana, hizo boda boda sijui ulizionea wapi? (Maana watu wakikusoma wanaweza pata picha tofauti kabisa).

Singida nimefika, Singida haiifikii Dodoma hata robo.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Duh?
 
[emoji3][emoji3]soko lile bhana walipoteza hela tu
Lile soko naona wamePlan for the future, ule ukanda wanataka kuukuza...kuna Stendi kuu ya mabasi kule, ni upande wa Wizara za Serikali, kuna uwanja utajengwa kule...Naona kule kutakuwa mjini kupya. Muda utaongea.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Tz hiyo ni kawaida, hamna biashara yenye uhakika! Katba mpya si kwa wanasiasa tu, hata kwa wafanya biashara, iwalindwe wasipukutishe mitaji yao Kwa kupunguza mamlaka za vichaa wanaopewa rungu!
 
asiyejua maana .................anashida sana ktk brain yake.
ila kwa ufupi tu ni kwamba,
chumba [master], sebule na jiko kwa Dom ni Tsh. laki 2 hadi 2.5k
kwa Dar hiyo pesa niya nyumba nzima, ya vyumba 3 kimoja master, sebule , dinning, public toi & kitchen.
 
Nina imani ipo siku 1 kitarudi chuma kingine kama alivyokua John au zaidi ya JOHN ndipo mtakapojua kuwa DODOMA ni keki inayodharaulika.. ipo siku 1 hii thread itakua inapitwa kama haionwi maana itakua aibu kuja kuisoma.
Dodoma ni mji ambao Serikali inatumia nguvu nyingi kuujenga, pamoja na changamoto za maji na hali ya hewa, wagogo hawakuwa na akili au msaada wowote wa kuendeleza mji wao. Ni kama Serikali imefyeka msitu kuanza ujenzi wa hili jiji.
 
Mi mwenyewe namshangaa ndugu. Watu Wanalipia nyumba hata hujaiweka tiles, aluminium wala ceiling body wanakupa kodi ya nyumba iliokamilika ili mradi waingie tu mhimu umeme na maji vingine unarekebisha wakiwemo. Mtoa uzi umeingizwa cha kike, wapangaji ni wengi nyumba hakuna usizungumzie vijijini hakunaga mtu wa kupanga kijijini.
 
Dodoma na Kilimanjaro kuna tofauti gani?
khaaaa we jamaa niwa kufunguliwa mashitaka haraka sana, huu ni udhalilishaji wa kimaeneo hivi kweli Kilimanjaro kwa baridi, mandhari ya ukijani mlima, mito na utulivu una enda fananisha na nusu jangwa? hembu omba msamaha hapa kutwa mara tatu kwanza kabla hatua za kisheria haziafwatwa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
siku ndege ikipolomoka pale ndio mtaelewa iyo project mpya haipo manake naona kama wagogo mmeamua kuuboresha huu huu
 
iyo chamwino sasa ukiisikia ukiwa dar na ukifika pale utacheka yani ni mashambani ni mibuyu tu nilichofurahia nilikula zabibu fresh zina taste flani hivi safi
 
hajafika kilimanjaro huyu dodoma na lindi wako sawa bado sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺKweli Dodoma ni kama nusu Jangwa, ila Pana UTAMU wake. Pana joto litakalokusababisha uinjoi swimming pool.
kamwe hauwezi ku enjoy kuogelea ukiwa K'njaro.
 
πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺKweli Dodoma ni kama nusu Jangwa, ila Pana UTAMU wake. Pana joto litakalokusababisha uinjoi swimming pool.
kamwe hauwezi ku enjoy kuogelea ukiwa K'njaro.
nani kakudanganya kuwa hu enjoy ku swim kilimanjaro pale moshi mjini kuna joto kama dar tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…