Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Huo ni mtazamo wako hauwezi ukawa mtazamo wa watu wote.
We are interdependence to each other huwezi ku-declare humtegemei mtu
yeyote utakuwa unadanganya unless wewe uwe motivational speaker.
Kutegemeana kupo lakini sio kutegemea au kutegemewa hilo ndo nalipinga. Ndoa nyingi zinakufa kwa sababu ya mitazamo kuwa tofauti. Mwanamke anategemea mume awe kama baba yake na Mwanaume anategemea mke awe partner (i.e mpambanaji mwenza ) kwenye kutafuta maisha. Mwanamke kumtegemea mwanaume ilikuwepo zamani na ilifanya kazi, kwa sababu wanawake wa kipindi waliweza ku compromise baadhi ya vitu. Waliweza kuwa wavumilivu na kumtukuza mwanaume. Kwa hio pointi ni kwamba kama mwanamke anataka kupewa Kila kitu atoboe kupitia ndoa inabidi ajishushe hamna namna. Ila kama anataka kuenjoy ndoa apate mwanaume ambaye watagrow together.
 
Hapo kufanya kazi kwa bidii wazingatie Sana.
 
Kweli kabisa hasa namba 9.
 
Kama upo 32yrs for instance, hujapata partner ambaye una uhakika wa kuingia nae kwenye ndoa, basi ngoma itafika 35yrs bila bila, likelihood!

Ndoa sio kila kitu katika maisha!
 
Aunt financial services usikute unahitaji mume ambae haexist, tajiri, mzuri, mwenye majumba magari, mwenye nguvu za Simba, anaekupenda sana anajali sana na mengi ya kwenye tamthilia....punguza matarajio makubwa tule ubwabwa.

halafuuu umri una matter jitahidi kabla ya 30 uwe umeishikilia future japo kuolewa sio lazima pia sio kila mtu anataka.
 
Thank you for the advice, ila mimi niko simple wala sihitaji mambo makubwaa, mkaka tu wa kawaida ila yes awe anajali, napenda kudeka siyo sana lkn😂😂
 
Ni ujinga tu, na wale walio olewa chini ya miaka 30 lakini hawana watoto na hawawezi kuzaa wanabaki kusimangwa tu na jamii wana unafuu gani?
 
Eti umekuwa huyo Auntie pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Usisikilize maneno ya watu.

Kuna dada yangu huyo,ni rafiki ya dada yangu wamesoma wote miaka hiyo.
Dada yangu aliolewa 2010...yeye amekuja kuolewa mwaka juzi 2020 akiwa na miaka 36.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…